Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Surveyed area,3 kilometers kutoka barabara kuu (main road) Bei (7500000) +255714908121
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Kiwanja kipo Nyanshishi Mwanza, mita 500 kutoka kituo cha daladala Nyanshishi zinazofanya safar ya kwenda maeneo mbalimbali ya kona ya jiji la Mwanza. Kimeshapimwa na kinasubiri kutengenezewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kiwanja hiki ni kizuri kwa kujenga nyumba ya kuishi au ya kupanga maana ni KM 1 kutoka barabarani na panafikika kirahisi wakati wote ukichimba maji yapo karibu miundombinu ya umeme ipo jirani...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Habarini wanafamilia wenzangu wa Jamii forums, bila shaka ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu ya kulijenga Taifa letu. Kama tangazo linavyojieleza hapo juu, nyumba ina jumla ya vyumba 3...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JE UNATAKA KUJENGA GHOROFA DODOMA? [emoji3500]NUNUA KIWANJA SASA USISUBIRI BEI ZIWE KUBWA UJUTIE KAMA WANAVYOJUTIA WATU WALIOPAPUUZIA MASAKI AMA OYSTERBAY MIAKA IYO...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukubwa 720 m² Bei - 6,000,000 Vibali : mkataba wa mauziano kutoka serikali ya mtaa. Kipo karibu na zinapogeuzia daladala za stand kuu - Igawilo Hakina mgogoro wowote, kipo eneo zuri la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SITE INAUZWA MAHALI: MSIGANI-MADALE, DAR ES SALAAM KM 6 KUTOKA TEGETA KIBAONI BEI 26M Contact 0767175518 KUNA FRAME TATU ZA BIASHARA PIA SITE INA vyumba vitatu viwili ni self contained ukubwa...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Iko Mbeya, kyela, km 12 kuto kyela mjini kipo pembeni na beach ya mwamyange umeme upo, Kuna msingi wa mawe,kina ukubwa wa eka moja na zaidi kidogo(77x75) Price: 55 mil negotiable
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lengo ni wewe upate kiwanja pengine mwisho wa mwaka huu uwe umeanza kujenga kiwanja hiki ni kizuri kwa kujenga nyumba ya kuishi au ya kupanga maana ni karibu na na panafikika kirahisi wakati...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
kiwanja eneo la kwa chikira Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu. Eneo bado halijapimwa unaweza kuligawa likatoa viwanja viwili vikubwa Bei ni 12,800,000/= umbali wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiwanja kiwanja kinauzwa nusu heka, ukita hatua unakatiwa kiasi kulingana na bajet yako tunakata kuanzia milion 5 kwendelea, nusu heka bei ni 18 kuna nyumba ndani haijaisha,Maeno ya Kigambo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Eneo lenye ukubwa wa square meter 10,000 lipo karibu na ziwa yaani ukisimama kiwanjan una view eneo la ziwa kwa uzuri zaidi lina nyumba ndani yake kama tatu mawe ya kutosha kwa ujenzi na kwa kuuza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kiwanja eneo la buyuni karibu kituo cha mafuta cha Sheratoni Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu. Eneo bado halijapimwa unaweza kuligawa likatoa viwanja viwili vikubwa Bei...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Vimepimwa, kuna umeme, maji na 4G zote, mita 450 toka lami. For developers, 17000 square metres suitable for shopping mall or company residences
0 Reactions
8 Replies
2K Views
uun
Kiwanja kipo mwasonga madege km22,kutokea kibada.. its ugentry maji ya kisima baridi eneo linafaa kwa. Makazi,ufungaji wa kuku, mbuzi au kilimo cha mboga cha umwagiliaji kiasi ni upana 50 na...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Viwanja vinauzwa Goba Kisauke Plot X mita 400 ndani toka barabara ya lami na kuna maji, umeme na 4G zote. Vimepimwa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kiwanja eneo la buyuni karibu na kituo cha mafuta cha Sheratoni Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu. Eneo bado halijapimwa Bei ni 12,800,000/= ikiwa utapenda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari..Tunauza viwanja viwili kwa ajili ya mahitaji ya ujenzi wa petrol station mali halisi ya familia yetu kwa bei nafuu sana..kimoja kipo singida road heka tatu kina hati bei ni mil 170. na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Asalaam aleikum ndugu zangu wa jukwaa hili mahususi, bila shaka mtakuwa mnaendelea vizuri na mapumziko ya mwisho wa wiki. Basi ningependa ku-share nanyi biashara hii ambayo iko wazi na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam, Kiwanja kinapatikana kitunda, Mara tu baada ya kuvuka reli kituo kinachofuata. Kiwanja kina ukubwa miguu 25*27 Kina msingi wa nyumba tayari Kipo umbali wa meter 500 kutoka barabara ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom