Plot4Sale Kiwanja Kiwanja Kinyerezi mwisho

Tayukwa

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
1,273
2,000
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Kuna kiwanja chenye ukubwa wa sqm800 kipo kinyerezi mwisho dakika 5 kwa mwendo wa miguu toka barabara kuu ya lami. Bei yake 22milion, mazungumzo yanaruhusiwa eneo ni tambarale sana. Kina barua Halali ya umiliki ila hati kamili bado taratibu zipo kwenye baraza la serikali za mtaa.

Kingine kipo cha sqm 2820 lakini kipo kwa ndani kidogo karibu na kanisa kuu la wasabato. Mwendo wa dakika5 kwa bodaboda.
Bei yake ni 65 Million. Mazungumzo yapo kina hati na kila kitu.
KARIBUNI SANA. MUHITAJI AJE PM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom