Kwa anayetafuta kununua au kupanga nyumba

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
211
Kwa mtu au taasisi yoyote anayetaka kununua au kuuza nyumba katika maeneo ya jiji la Dar - Es - Salaam, tuwasiliane tunazo zaidi ya nyumba 20 za kuuza na zaidi ya 30 za kupangisha . bila kusahau viwanja na nyumba ambazo wamemiliki wameshindwa kuzimalizia kujenga. ( Havilla Real Estate Agent 0657 14 5555, 0755 099 291 na 0686 200 117, info@havilla.net. thomasnelson564@yahoo.com)
 
ungekuwa na website ingekuwa vyema....
mbona kuwa na blog ni free...?
unanunua digital camera na kuupdate hizo nyumba kny blog...
huwezi kunitembeza kny nyumba zote 30 ila kwa picha nitakuwa na uwezo wa kumake decision nyumba ipi nimeipenda.....lol:sleepy::sleepy::wacko:
 
Hapo ni kweli, vinginevyo ni biashara ya ubabaishaji!
 
ungekuwa na website ingekuwa vyema....
mbona kuwa na blog ni free...?
unanunua digital camera na kuupdate hizo nyumba kny blog...
huwezi kunitembeza kny nyumba zote 30 ila kwa picha nitakuwa na uwezo wa kumake decision nyumba ipi nimeipenda.....lol:sleepy::sleepy::wacko:

Digital camera yote hyo? Kuna cm za bei rais zina picha zenye quality safi,mkuu sikiza ushauri wa jestina ebu fungua blogspot ujisajili ni free kama hauwezi ni pm nikufungulie kila kitu wewe cha kufanya ni kunitumia picha na details nitakua naupdate!
 
Kiwanja ulichonacho cha bei ya chini ni sh. ngapi na sehem gani?
 
ungekuwa na website ingekuwa vyema....
mbona kuwa na blog ni free...?
unanunua digital camera na kuupdate hizo nyumba kny blog...
huwezi kunitembeza kny nyumba zote 30 ila kwa picha nitakuwa na uwezo wa kumake decision nyumba ipi nimeipenda.....lol:sleepy::sleepy::wacko:
nitaufanyia kazi ushauri wako asante sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom