Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

mark 2 gx 110 ipo katika hali nzuri inauzwa sh 14 million, pia ipo rav 4 3door kwa 9 million, carina kwa 9 million. pia kwa anae itaji kununua anaweza kupata nafasiya kuyaona coz yote...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Iko kwenye condition nzuri. Dalali haitajiki... Specification; Bei: 8 milion Blue matalic, mwaka 2000, petrol 5 doors, frm Japan, Cc 990 Transimison: auto
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunahitaji pesa kumpeleka mzazi Wetu india kwa matibabu. Gari iko kwenye condition nzuri. Dalali haitajiki... Specification: Blue matalic, mwaka 2000, petrol 5 doors, frm Japan...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani nahitaji suzuki carry au gari inayofanana nayo au pick up tafadhali anayeuza ajitokeze
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ipo maeneo ya sinza karibu na lion hotel bei 150mil na maelewano yapo sifa: Ni nyumba kubwa vyumba zaidi ya sita :mabanda ya uwani yenye vyumba zaidi ya sita :eneo la kutosha kupumzika...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Nitajuaje genuine na fake za hii kitu coz ni significant expenditure na ctaki kuingizwa mujini kwakweli Msaada wadau
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JM habari!,natafuta moja kati ya gari zifuatazo TOYOTA RAV 4 MILANGO 3, SUZUKI ESCUDO, TOYOTA PREMIO AU TOYOTA FILDER. ambaye ana moja kati gari hizo na ikiwa kwenye hali nzuri na anataka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta nokia n70 kwa 70,000.ahsanteni!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
I gat 2 Blackberries both are 8520 model . charger moja (the other one got misplaced). NOTICE: nauza both sio mojamoja. the price is 400,000 (negotiations are allowed)
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Heshima mbele wakuu .. Nahitaji nyumba ya kupanga yenye sifa zifuatazo vyumba viwili vya kulala ,sebule na jiko iwe ndani ya fensi na kaparking kakiaina bajeti ni 150,000-200,000/=...term za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Item sold
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nina viwanja vilivyopimwa na serikali na kupatiwa hati miliki maeneo ya kimara temboni njia ya matosa venye ukubwa mbali mbali bei kuanzia milioni 12 simu 0769 431889 au 0715 478 478 ukiitaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam Great Thinkers, Nahitaji kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi familia yangu. Mambo ya kuzingatia katika utafutaji: 1: Maeneo - Mbezi beach; Kilimahewa; Ununio; Mbweni; Tegeta...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari, Nauza simu yangu ni bold 9780 iko katika condition nzuri kabisa. Sababu ya kuuza kwakua nimeagiza simu nyingine! Bei ndo hiyo 350,000/= Nicheki kwa 0753196849...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Application 1. Vehicle rental/special tracking system for outside machine 2. Finance and insurance business tracking system. 3. Car commanding and dispatching system 4. Heavy construction vehicle...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa letu la tanzania.kutakuwa na maombi ya kuliombea taifa letu la tanzania na kuvunja laana zote zilizowekwa katika ardhi ya tanzania. Eneo ni safina radio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi!..everybody. Nahitaji simu/PDA yeyote yenye spesification zifuatazo: 1. Iwe Windows mobile 5.0 au 6.0 2.Iwe na Infrared port kwa kukodisha kwa two weeks na utapewa simu ya...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Hi!..everybody. Nahitaji simu/PDA yeyote yenye spesification zifuatazo: 1. Iwe Windows mobile 5.0 au 6.0 2.Iwe na Infrared port kwa kukodisha kwa tu week na utapewa simu ya...
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Wanajf naomba kujuzwa structure mpya ya kodi ya imported vehicle km ilivyopendekezwa na serikali kuanzia july 2012. Ktk website ya tra bado structure ya zamani inaonekana yenye kuelezea uchakavu...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…