Natafuta nyumba maeneo ya kimara na ubungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba maeneo ya kimara na ubungo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Maganga Mkweli, Jun 27, 2012.

 1. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Heshima mbele wakuu .. Nahitaji nyumba ya kupanga yenye sifa zifuatazo vyumba viwili vya kulala ,sebule na jiko iwe ndani ya fensi na kaparking kakiaina bajeti ni 150,000-200,000/=...term za ulipaji ni miezi sita sita
  maeneo ni kimara na ubungo(mitaa yake yote kwa maana ya riverside ,kibangu,hostel,maziwa na mitaa mingine ya ubungo..)
  asanteni mwenyewe taarifa anaweza nipm..
   
 2. freemoney

  freemoney Senior Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado unatafuta iyo nyumba! tuwasiliane 0716-369299
   
 3. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  asante kamanda nimefanikiwa
   
Loading...