Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

SMARTPHONES GOING VERY CHEAP..... Iphone 4s 16GB white for only 555,000/=tshs (FULL BOX) SAMSUNG Samsung Galaxy Note1 for only 515,000/=tshs Samsung Galaxy s2 plus for only 440,000/=tshs (FULL...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello wana jamii forums nauza ignition coil (magneto), valves and distributor sensor for suzuki j20 and h25. Vyote vipo katika hali nzuri.guarantee unapewa. Contact: O757 983670 au 0718983670
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza universal modem 3G,maximum speed 7.2mbps.Inatumia laini zote.Anayehitaji AniPM
0 Reactions
1 Replies
821 Views
Nauza ng'ombe dume bei 800000 maelewano yapo.picha yake hii hapa,na mawasiliano0786705206
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu wa JF ! Nataka kuanza biashara za kuleta vitu kutoka DUBAI au Nchi zingine, alafu niwa uzeye wa bongo ! Do you think its paying ? WHAT PRODUCTS do you suggest ? Mobile Phones au ?
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Tunamiliki liduka cha nguo cha mtaji kama 2m! ni mwezi 1 toka tuanze ,niliwahi kuambiwa hapa kama nahitaji nguo niende Kampala ! Hivi karibuni nitasafiri kwenda Kampala kwa mission tofauti ,nataka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina jiko langu la umeme la tanalec. Limetumika ila bado linafanya kazi vizuri. Bei 250000(rangi ya brown kwenye picha) Pia nina jiko linalo tumia mafuta kwa bei 180000(jeupe kwenye picha)...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Viwanja vinauzwa, Malimbe,Sweya Jijini Mwanza, umbali wa Nusu Kilomita kutoka SAUT University. Vipo ziwani (ziwa Victoria) ni low Density, viwanja hivyo ni namba 95 na 96 kama vinavyoonyeshwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tunauza machine za kutolea risiti za EFD za TRA kwa bei poa kabisa na ubora wa hali ya juu, huna haja ya kuhaingaika tena, sasa tutakuletea machine ya tra popote ulipo tanzania pale unapohitaji...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari za jioni wana jamii b/e!kwa wale wanaohitaji asali mbichi toka dodoma kwa uzito wowote wasiliana nasi kwa namba 0769- 895746 au 0718-248752
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Namtafuta kijana wa kiume au wa kike kwa ajili ya kusaidia kazi ya kuuza dukani.duka lipo tarime mjini,mshahara mnono
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sisi ni wauzaji wa seat cover gari aina zote,vile vile tunauza alarm za kuzuia wezi za gari,stika mbali mbali,cushion,parking sensor,shedi za gari zote,mud flap.nk vile vile wa dar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nataka sim ya nokia n78,n81,n86.na bei zake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Puppies aina ya maltese wanauzwa 300000 wana wiki 7.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu anayehitaji line ya Tigo-Pessa ani PM tufanye biashara.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello ladies and Gents kwa yeyote anayeuza line ya uwakala wa tigo-pesa na m-pesa anipm no yake na price nahitaji sana hizo line,matapeli kaeni mbali tafadhali,natanguliza shukrani
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Get genuine flash disks at a good price. 4gb flash-11,500. Call 0658663325
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta ofisi maeneo ya Upanga,wana JF kama kuna watu wanajua nitashukuru kwa msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Ni tablet, OS yake ni Adroid, iko kwnye hali nzuri, tatizo lake nimepoteza charge yake basi,nahitaji laki 750 tu
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Iko katika very good condition,imetembea Km 78,000 price ni 15,500,000/= maongezi yapo!kwa wale walio serious wani PM tafadhali
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…