Wakuu natafuta charger ya Tablet yangu AIRIS One PAD 970 au yoyote ambayo inaweza kukubali kuichaji hii Tab.
Kama unayo,au unajua pa kuipata plz assist me 0752385949
Wadau JF, Tablet yangu Inch 7 imeanguka na kuvunjika KIOO kwa hiyo natafuta KIOO kingine..au kama kuna mtu anayeihitaji tablet ninaweza kumpa kwa bei nafuu zaidi,tablet haina shida yeyote zaidi ya...
SIMBA SOFTWARE is a Bussiness management software developed and supplied by CREATIVE LAB(T) LTD. It has the following features
1. DAILY SALES
2.DAILY EXPENSES
3.PURCHASES
4.CUSTOMER ACCOUNTS...
SIMBA SOFTWARE is a Bussiness management software developed and supplied by CREATIVE LAB(T) LTD. It has the following features
1. DAILY SALES
2.DAILY EXPENSES
3.PURCHASES
4.CUSTOMER ACCOUNTS...
Wapendwa wangu napenda kuwafahamisha kwa yeyote mwenye uhitaji na receipt books,payment vouchers,invoices books,purchase order nk, usisite kunitafta bei inategemea na size pia na quality, kwa...
wadau mi ni mgeni arusha naomba kujuzwa ni gest gan nzuri yenye usalama lakini bei yake iwe kati ya 10,000-20,000 karibu na stendi,au bisiwe mbali na stendi ya kuu
msaada wenu tafadhali
hello ladies,im selling flat shoes from UK,unfortunately at the moment only BLUE COLOR IS AVAILABLE,the shoes are VELVET material,size ranges from 36-40 please PM if ur interested.
price:tsh...
Pata simu mbili Samsung Chat e222 na Huawei y200 zote kwa 160,000 (inapungua hadi 155,000)zote zipo kwenye hali nzuri.
Ni Pm ukiwa interested..Hii ni kwa wakazi wa Dar pekee.
Specifications:
Android 2.36
Soft touchscreen
3G internet
Single line ( tigo only)
Camera
Very fast internet
In a good condition( used for 4 months only, never been dismantled or repaired)
Bei...
Car for sale
Toyota Cami
Odometer 135000
cc 1290
Imported 2009
Road license, insurance – paid up to june 2014
Good condition - working
4WD
Price: Negotiable – 5m
Reason for sale: got...
Kama wewe ni mmiliki wa gari hii ni fursa yako ya kujitengenezea kipato cha ziada. Tutakulipa kama utakubali tupambe gari lako kwa sticker za tangazo la bidhaa zetu.
Utapata tsh 100000 kila baada...
Wakuu nina Bajaj 2 kama zinavyoonekana kwenye pics hapo chini:
1: Bajaj nyeusi, bei: 2.2M (sold)
2: Bajaj ya blue, bei: 1.8M (price now reduced to 1.2M ONLY!)
- Zote ziko katika hali nzuri, na
-...