Wana JF, leo nikiwa natoka kwenye pirika zangu, nimekutana na dalali eneo la Kivule Matembele, ameniambia kuna nyumba inauzwa eneo la Kivule/Kitunda kituo cha Daladala Msikitini mita kama 200...
Wakuu habari zenu.. Natafuta nyumba yenye self contained bedroom, sitting room na kitchenete maeneo tajwa hapo juu.. Iwe na maji.umeme na paRking pia. Offer yangu ni 200,000 shs... Msaada...
Refurbished & up to 12 Months Warranty. Angalia hapa, ukipata unayoipenda niulize kwa PM jinsi ya kuipata. Itakufikia kwa Fedex au DHL. Ongeza nauli kwenye bei ya kifaa...
Vitabu vya kujifunzia UDEREVA, ufundi MAGARI na UMEME wa MAGARI kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili kwa kutumia Syllabus ya ufundishaji vinapatikana. Kwa Mawasiliano:- 0684934612. Email...
Wadau nauza samsung digital camera model WB 150 brand new warrant 2 yrs 18 optical zoom lens 14.2 megapixel ina poch yake na memory card full fuction like wi-fi support ,support social network...
Brand NEW...GALAXY S3 MINI CLONE, S4 CLONE going very CHEAP compared to market price
- has Android OS 4.1.2 (s3 mini) & 4.2.2 (s4)
- has Google play where you can download WHATSAPP, VIBER...
jamani nahitaji simu inayosupport whatsapp iwe nokia,samsung au yoyote ile... Bei isizidi elfu 70 waungwana na isiwe na tatizo lolote la kiufundi.. Mawasiliano 0714499248.
Nauza hiyo hp probook 6560b mpya na ni new model. ina specification kama zifuatazo;
Storage: 320GB
Memory Speed: 4GB ram DDR3
Processor: Core i5 of 2.53GHZ Dual core
Webcam
Fingerprint
DVD-RW...
Habari wakuu, natafuta wireless router ya kununua ambayo ina-support sim card zote. Kama unayo na unaizuza tafadhali usisite kunicheki kwa namba yangu 0655003510. Ahsanteni
Maeneo ya Kimara au Mbezi, iwe jirani na Morogoro Road.
Iwe na Ukubwa kuanzia 2m x 3m na kuendelea..
Kama ni Madalali watalipwa Kamisheni yao.
Natanguliza Shukrani.