Iveco Stralis 2003, imported from UK last year (T... CBM plate number) with complete Trailer is ON SALE .
Working perfect, Currently on the way from Mbeya to Dar. Asking price TZS 55million...
Xtreme Fuel treatment...
is a product patented an time tested for nearly two decades in industrial markets around the world.
Extensive testing and perfomance measurement data PROVE THAT IT REALLY...
Habari wadau ! kwa wale wanaohitaji ramani za nyumba (architectural works) , interior design works na ushauri wa ujenzi.
ASANTENI
Mobile-
0717-442537 & 0767-442537.
Gari aina ya toyota cardina inauzwa maeneo ya mikocheni.. IPO katika hali nzuri na haina tatizo lolote la kiufundi.. kwa mawasiliano zaidi NIPM au piga 0719891518 kwa maelezo zaidi
Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo)
Vinauzwa kwa Bei Utakayomudu
KILA SQ METER MOJA NI SH ELFU SABA.
Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari
Tazama...
Gari aina ya Suzuki Swift lenye namba za usajili T 269 BST linauzwa. Lipo kwenye hali nzuri, limetembea km 54,970 tu na limeingizwa nchini kutoka Japan mwaka 2011. Limekuwa likitumika D'Salaam kwa...
Xtreme Fuel treatment...
is a product patented an time tested for nearly two decades in industrial markets around the world.
Extensive testing and perfomance measurement data PROVE THAT IT REALLY...
HALAAL Company Ltd at TEGETA Nyaishozi,along side BAGAMOYO Road,DAR ES SALAAM, brings you a very special offer......!
Quality Cement Blocks at only 800/= Tsh,manufactured by using GENUINE LUCKY...
Pikipiki aina ya fekoni namba c nauza bei mill 1.1 maelewano yapo ipo temeke dar es salaam inamwaka mmoja tokea inunuliwe ntaweka pic cm yangu inashwindwa kuatach ntatumia computer nikitulia wadau...
Naitaitaji kijana mwaminifu, nampa SanLG MPYA, mazingira ya kufanyia kazi ni Dodoma mjini (lami), kuanzia jumapili hadi ijumaa, leseni yako ni uaminifu, malipo: UTAKABIDHI 45,000/= /week, mafuta...
Rejea kichwa cha habari..Mimi ni mfanyabiashara wa kuku wazuri wa kienyeji..Bei yangu ni kuanzia 10,000 mazungumzo yapo pia.Napatikana manispaa ya tabora kwa nambari 0766232456.
[FONT=century gothic]Kwa yeyote aliemtaalamu wa kiufundi katika laptop ambayo haidisplay kwenye screen yake naomba kusaidiwa:Laptop yangu ni DELL INSPIRON 1545, 2GB RAM, 320HDD. ilinunuliwa 2011...
SIMU INAUZWA
Simu aina ya Ideos google
inauzwa. Ipo katika hali nzuri
haina michubuko wala tatzo
lolote.. Inasupport
whatstapp,youtube,Skype,
viber na application nyngne
za kjana...
Natengeneza simu zenye matatizo kama [i] TO UNLOCK PASSWORD [ii] TO CONNECT INTERNET KWA SIMU ILIYOSHINDIKANA ,malipo ni baada ya kazi kufanyika,Simu ninazotengeneza ni [i]NOKIA [ii]SAMSUNG...
Double J ushering company
Provides ushering services at affordable price.
Ushers are well trained and experts,ushering in different events like weddings,send-off,seminars,conferences,meetings...