DAKIKA 50, 400MB na Sms bila kikomo. Bei ile ile ya Tsh 999
Wakati Juzi juzi hapa Vodacom na Tigo walimwiga kwa kuweka na wao Vifurushi.. Kapandisha kwa speed
The battle continues
JUZI...
Kama unataka kuwezezs ktk sekta ya hotel, au ardhi hii ni fursa njema kwako.
Kuna beach plots zinauzwa mtwara eneo la msanga mkuu.
Eneo linaukubwa upatao ekari 1.
Kwa mawasiliano pigs namba...
Wadau habari zenu!kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Msowelo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro!zipo heka kumi (10) zilizopo karibu na mto Msowelo hizi zinafaa kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji na...
Jipatie huduma ya survey kwa bei nafuu na urahisi,you mention it we do it...Land survey,Engineering survey,Mine survey and what have you.Tunakodisha vifaa vya survey pia...GPS (handheld and RTK)...
Wadau natafuta ofisi, isiwe kubwa sana size yake kuanzia 24sqm to 36sqm, maeneo ya Sinza,kinondoni,
mbezi beach, makumbusho au mwenge my bdget 150,000 - 300,000/per month.
nitashukuru sana kwa...
Hi,natafuta chumba kinondoni manyanya kiwe karibu na barabara ila isiwe karibu mno na barabara.anaependa kunisaidia awasiliane na mimi hapahapa,mwez huu mwanzon nihamie
Wanajamii nahitaj game latest kati ya fifa au PES ya soccer kwa ajili ya laptop yangu ya macbook pro... Mwenye nayo anicheki 0787 536 129. We can mek a deal on it, its urgent!!!
Habari wana jf, ninauza sabuni za mche kwa bei poa, ni nzuri, nyeupe na ina povu jingi hata kwa maji yenye chumvi kama ya Dar es salaam na sehemu nyinginezo.
nauza jumla na lejaleja. kama unataka...