Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza Kuku wa Kienyeji bei sh 5000-15000 kulingana na ukubwa na uzito wa kuku. Ukinunua kuanzia Sh 50000 nakuletea mpaka ulipo. kwanza mawasiliano 0714881500 NIPO DAR ES SALAAM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bado mpya kabisa.... its rooted...dukani inauzwa 360,000/... ila nitakufanyia chini ya hapo..... zimebaki mbili tu... 0713774746
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za leo jamani nauza Kindle ipo katika hali nzuri kabisa anayependa anaweza kunipigia 0752 559802. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa chenye ukubwa wa mita 50 upana na urefu mita 60 unapanda gari zambagara langi tatu unashuka zakiemu kisha unapanda gari zakwenda mikunai dar es salaam nichapili ni kutoka barabara...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
habari wana JF Gari aina ya rav 4 inauzwa iko Arusha - bei negotiable kama uko serious nipm karibu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chumba kimoja cha kuishi maeneo ya Riveside ubungo... kwa maelezo zaid fanya PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
gari aina ya sprinta 110 yangu iingie ina miaka mitatu Tu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa anayehitaji king'amuz cha alisat..nimekitumia miez 3..n pamoja na dish..elf 70..tuu.nko dar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu tajwa hapo juu,ina scratches kidogo sababu ya kutumia bila skin pochi...naiuza elfu 80,haina tatizo lolote nimeitumia kwa miez 8!niko Dar,sababu ya kuuza,nimepata smartfone ingne!
1 Reactions
2 Replies
795 Views
Gari ya aina Toyota sprinta 110 piga namba 0714064767 kama unahitaji
0 Reactions
3 Replies
1K Views
simu inauzwa htc desire 500,ime2mika miez 2.Bei ni 300,000/=
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Samsung phone for sale.new. Serious calls only.I need money urgently.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
We deal with home,official, hotel gardens Fish pond, statue, and different art's Contact us: josephujumanne6565@gmail.com Watsup-0754866063 Facebook pg: expricit company
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Ninauza hizo speaker kama nilivyaondika hapo juu na kama zinavyoonekana hapo juu,120 watts,ni pm ama nipigie 0768808819
0 Reactions
3 Replies
985 Views
salamu wanajamii forum; nauza kuku wa kisasa wenye wiki tano kwa shilingi 4900/=......punguzo itategemea na mzigo utakaochukua, tuwasiliane kwa namba 0787703107
0 Reactions
0 Replies
638 Views
ina: Hard-disk 80gb Ram 512 Mb DDR1 ( unaweza uka upgrade mana ina slots mbili za kuweka ram) processor 3ghz bei:laki na nusu tu serious buyer sms me 0788272824 or PM
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ndugu wana JF habari ya leo?napenda kuwataarifu ya kuwa nauza mashamba ekali 200 bei shilingi milion 12 kwa ekali zote,mashamba haya yanafaa kwa kilimo pia hata ufugaji.mashamba haya yapo wilaya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Natafuta printer yenye uwezo wa kuprint kwenye DVD/CD na DVD duplicator mashine . Kwa anayejua naweza pata wapi kwa bei nafuu au mwenye navyo hata kama vimetumika kidogo ila bei iwe nzuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana Jf Mwenye simu aina hIZo hapo juu tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
786 Views
wana Jf Mwenye simu aina hyo hapo juu tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…