dell computer (CPU) inauzwa bei chee.....

dell computer (CPU) inauzwa bei chee.....

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
ina:
Hard-disk 80gb
Ram 512 Mb DDR1 ( unaweza uka upgrade mana ina slots mbili za kuweka ram)
processor 3ghz
bei:laki na nusu tu

serious buyer sms me 0788272824 or PM
 
Hiyo ni bei ya CPU mpya yenye hdd 160GB, 2GB of ram na processor 2.4GHtz kwa 145,000 mpya kariakoo, jitathimini hiyo bei yako
 
Hiyo ni bei ya CPU mpya yenye hdd 160G
B, 2GB of ram na processor 2.4GHtz kwa 145,000 mpya kariakoo, jitathimini hiyo bei yako

Sasa hapa kariakoo na acha kuwadanganya watu sema kariakoo duka gani wauza hvyo?
 
Sasa hapa kariakoo na acha kuwadanganya watu sema kariakoo duka gani wauza hvyo?
Tuache mabishano hapa kwenye mtandao nipm namba zako za simu kama upo dar nikupeleke, nikishindwa ndo uje utangaze hapa kuwa mimi ni mwongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom