Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za Asubuhi Wakuu...Natafuta Mdoli wa kununu aina ya TED BEAR,ni wapi maeneo haya ya dar-es-salaam kuna duka linauza midoli hiyoo au kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia nikapata mdoli wa aina...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani, msinichoke, Naanza kuwekeza rasmi (I am taking risk). Naomba kujua hivi vi-pick ups vidogo vidogo sijui vinaitwa SUZUKI CARRY, HIJET n.k vinauzwa bei gani? Showroom ni bei gani na ni...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Toyota altezza iliyo katika hali nzuri inauzwa kwa bei ya ml tisa tuu Nipo Dar Es Salaam KWA MAWASILIANO 0767-547228 0713-547228
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili simu tajwa hapo juu inauzwa kwa bei ambayo ina lenga kumsaidia hata mtu mwenye kipato kidogo. Simu iko katika hari nzuri kwani imetumika miezi miwili tu na sababu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
For filtration solution, parts and oil please visit: Tracto Co. (Tanzania) Ltd For Heavy equipment hiring visit: KukuNzito | We are in the business of supplying fleetguard filters...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Iwe imetengenezwa kuanzia mwaka 2003. offer itategemea hali ya gali mwenye nalo karibu kwa biashara
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Nauza nokia e71 ipo katika hali nzuri sana.ntafuts 0659626782 dar
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Kama ungepata fursa ya kulipwa kwa kila lisaa ulilolitumia kwa kuja hapa JF au kwenye mtandao mwingine wowote ule na kwa kila saa la watu uliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini kwa kupakua App...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kipo salasala.kina ukubwa zaidi ya sqr600,umeme upo,barabara nzuri ipo. Bei mil.12 wasiana 0656063933 au tembelea DOUBLE(A)BROKERS
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu....Kwa anaye fahamu ni wap nitapata PS2 used na kwa bei rahisi tafadhali naomba kujuzwa..Nina mpango wa kununua kama 4 hivi..Then na TV(video) za inchi 21" wap naweza pata hivyo vitu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama una Galax pocke imezeeka na kuchakaa unaidespose basi nanunua lakini iwe inawaka hata kama haisikii vizuri iwe inawaka isiwe bovu kabisa hata kama imekwaruza screen haina taabu kuna kifaa tu...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
bofya link hii ujionee DOUBLE (A) BROKERS
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wadau nahitaji kiwanja maeneo ya Bonite mkoani kilimanjaro naomba kujua bei kwa kiwanja cha hatua 40 kwa 20!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Natufuta external hard disk...kwa mtu alikuwa nayo aweke properties zake pamoja na kiasi.t
0 Reactions
4 Replies
893 Views
Wadau nauza simu aina ya Sony Xperia imetumika mwezi mmoja tu na nimeinunulia sweden bei Tshs 750,000/= Specification kama ifuatavyo GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 - C6602...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
inauzwa ipad 2 ya 32 gb iko katika hali nzuri sana bei laki 5.yapo maongezi. 0654160092
0 Reactions
0 Replies
771 Views
natafuta eneo la kununua kigamboni maeneo ya dege mpaka mbutu eneo liwe la nusu ekari mpaka ekari moja.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Used Photocopy Machines Canon NP 6030/6220/6020/6317 & 6216 from United Kingdom (U.K) for sale at a very reasonable prices. The advantages of these photocopy machines are: 1) The have low...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nauza iphone 5 original form uk, ilikuwa locked to uk vodafone lkn imefunguliwa, bei ni 750,000, Rangi ni nyeupe, imetumika kwa muda mchake, iko katika hali nzuri, kwa anayeitaji ani PM...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
uza cm android kwa bei tajwa hapo juu
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…