Wadau habari. Natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba kuanzia viwili au vitatu vya kulala including master. Priority mbezi beach knyama au kawe. Napenda nyumba ambayo ni self apartment na umeme...
Ndugu zangu wadau wa jamii forums,habari zenu. Nina hitaji simu used kwa bei ndogo ya kawaida tu aina ya blackberry torch 9860. Nipo dar kwa mwenye nayo nitafute kwa namba 0683965429 ili...
Habari wandungu,ninatafuta kiwanja cha BARABARANI 20*20 maeneo ya goba madala kwa kawawa au kulangwa njia kuu unaingilia kilipo kiwanda cha cement wazo ukifuata ihi barabara utakutana na...
WanaJF nimepata Matatizo hivyo nimeamua kuuza Shamba langu lililoko Beach Kigamboni eneo la Buyuni upande wa Baharini jirani kabisa na Bahari,Nimezungukwa na Wahindi na wameshaweka Fensi za...
mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26 elimu kidato cha sita . Kwa heshma kubwa naomba kutangaza rasmi kuwa natafuta mke wa kuoa umri miaka 18 hadi 20 .nipo pasias kwa mawasiliano piga 0683406167...
Kwa wale ambao hamjabadilisha masaa yenu mliyoyaingiza mwezi wa December 2013 kupitia mradi wa Perfect App kwenda kwenye Cash na hamjui jinsi gani mfanye hivyo, fuatilieni nini cha kufanya hapa...
habarini, Oven kubwa inahitajika kwa ajili ya bakery iwe used au mpya, Inayotumia gas ndio kipaumbele.bei tutaelewana kutokana na ubora wake na idadi ya plates (1 ...).
Habari wana JF,Kama kichwa cha thread kinavyosema hapo juu,msaada unahitajika nina shida na kias cha 10mil za haraka na nataka niweke kama bondi gari yangu pamoja na kadi yake,Nitakuwa narejesha...
jamani mtu yoyote mwenye uzoefu na hizi kazi ..nahitaji kuprint t-shirt kama 20 aila tunaanza na kumi
1.nipo dar
2.toa bei ili nifanye comparison
3.t-shirt kwa ajili ya chama
3.angalau onesha...
Hi,
Tunatoa msaada wa kufanya matengenezo na kurepair Computers Desktop, Laptops, Printers, Scanners, Photocopier machines na machine zote ya electronics kwa bei nafuu sana. Kwa mawasiliano...