Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

kiwanjaa cha acre moja kinauzwa arusha maeneo ya usa river kipo full uquiped with titledid! bei ni 60 millions kwa atakayehitaji ani pm!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta kiwanja nje kidogo ya mji wa dar ,isizidi km 25 toka mjini ,nataka kijisehemu cha kutosha kujenga vyumba walau vitano na sebule ,nina mil 2 je naweza kupata kwa hiyoo bei? wale wenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kitanda 5 kwa 6 pamoja na Godoro lake, Tv nchi 18 pamoja na deki yake pia na meza yake! Vitu vipo Morogoro. Piga simu hapa: 0714138846
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sq 1100 metre 50 vipo viwili kwa pamoja Eneo Mbutu kichangani ,, KIGAMBONI mbali na mradi wa BUSH, Karibu kabisa na Bahari ,,, Eneo zuri Kwa kujenga Hotel, Kiwanja kina hati,,,, BEI MIL 75...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa wanaforamu, Kwa muda mrefu kumekuwepo na tetesi kuwa, 'KISWAHILI NI MTAJI'. Je wewe binafsi umeshazifanyia kazi 'tetesi' hizo? Kama ndiyo, hongera sana na itumie fursa uliyonayo kujiajiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf nina laptop yangu aina ya Toshiba,RAM 2 GB,hard disc 160 GB ila betri haitunzi moto kwa muda mrefu,bei yake laki mbili na nusu.Kwa anaye hitaji aniPM au nipigie simu no 0764 810815,nipo Dar.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Simu imetumika wiki2 ina internal memory 16gb ina run android 4.1.1 jelly bean nicheki kwa 0717022737 fo more info.
0 Reactions
2 Replies
982 Views
natafuta gari ndogo kati ya hizi vits,starlet ni mzuka sana budget yangu ni 4m niko moshi
0 Reactions
1 Replies
589 Views
simu aina ya samsung nexus inauzwa kwa kiasi cha tsh 250000 ina internal memory ya 16gb kwa anayetaka apige 0755945575
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Viwanja vinauzwa chanika kwa bei .rais , vinaukumbwa mbali mbali .kwa maelezo zaidi contact 0713 95 92 90
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Line ya mpesa inauzwa sh.350,000 anaehitaji anitafute kwa kwa msg namba 0712488125.
0 Reactions
0 Replies
661 Views
pikipiki aina ya HONDA yenye namba za usaili T 763 BTN wajanja wanaiita daz kisanga katika hali nzuri inauzwa moshi mjini kwa gharama ya laki tisa tu wahi sasa
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nahitaji projector, yeyote mwenye kufahamu wapi naweza pata kwa bei poa anipigie kwa namba 0717696688.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau natafuta used projecta iwe kwenye hali nzuri. kwa mwenyenayo ani PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta Gari ya Kununua Aina ya Nissan Elgrand, year from 2000-2002, gasoline,4WD, Navigation, pearl or silver color.
0 Reactions
2 Replies
965 Views
nahitaji kujua wapi nitapata projector na bei zake kwa ajili ya kuendeshea semina na kufundishia.Asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inauzwa kwa bei ya 380,000(negotiable kidogo) 4.0 inch superamoled screen 1gb ram 8gb internal memory with SD card support Android 4.1.2 (custom rom ya Dmod v6 with some S4 features) 5mpx...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jf ninaitaji kituo cha mauzo ya pikipiki hizi za kichina ambapo naweza lipa 3 installation mil 1 kwa sasa, mwezi wa 4 laki 5, na mwisho namalizia mwezi wa 5, kama ipo hiyo au anayejua namba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toyo xl 125 ime2mia miaka4 tena ni weekend tu ndio hutumikaa imetmbea km19,874 bei 1,450,000
0 Reactions
8 Replies
2K Views
.UT452PUOH4T
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…