Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau hiyo sim inahitajika. Call 0768607418
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Nauza cm aina ya blackberry curve 8530 ipokatika hali nzuri pia haina tatizo lolote bei 90000 cash bila mia kupungua aliyekuwa serious anicheki kwa no 0713943432 npo dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NYUMBA ISIYOMALIZIWA AMBAYO IMEJENGWA KOZI NNE IKIWA NA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA, SEBULE KUBWA NA STORE.IPO VISIGA MADAFU KIBAHA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD,ENEO LAKE ROBO HEKA LINA HATI YA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Magari hayo hapo yako katika hali nzuri sana yanatembea. Yapo Morogoro mjini. Escudo Bei ni Tsh 6 milioni na hiyo Mark II Grande bei ni 5 milioni. Escudo: 5 door,engine ni 4 cylinder, Automatic...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Tafadhari shufu kichwa cha habari hapo juu
0 Reactions
12 Replies
1K Views
WE GLADLY WELCOME!! YOU TO GIZMOTECH STORE LIMITED® GIZMOTECH STORE LIMITED® NOW OFFER A ANNUAL SALE!!! We are dealers of all kinds of Mobile Phones Such as Apple Iphone, Blackberry, Nokia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta betri ya laptop aina ya hp compaq nw8440 Iwe inakaa angalau kuanzia dakika 60 na kuendelea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninatengeneza website kwa kuanzia shilingi laki mbili tu, hii ni pamoja na registration na hosting ya mwako mmoja. kama uko na bishara na ungependa kuwa na website yako basi niPM...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
The room has a bathroom and shower in it.It goes for 250,000/month,payable in 1 year's rent but negotiable with owner for 6 month's rent.My commission is 200,000 .FYI ,I live in it and moving out...
0 Reactions
2 Replies
961 Views
1.Kiwanja kipo boma road kama mita 150 tokea msikiti mkuu wa Morogoro mjini.Kina SM 400 a kimezungushiwa ukuta.Bei ni Mil 140 2.Nyumba inauzwa ipo Misufini.Inavyumba 9 na inanafasi ya larking ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Microwave ya aina ya Samsung, bado ni mpya nimeitumia miezi mitatu tu. Naiuza kwa dharura kutatua tatizo fulani ambalo nahitaji kulitatua mapema. Bei ni Tshs 140,000/= Unaweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana Jf Nisaidieni Nataka Kununua Friji Kwa Matumiz Ya Nyumban Na Kugandisha Barafu/ice Cream.Lipi Lina Tumia Umeme Kidogo Na Imara,nashukuru.
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Habari zenu jamani, Naomba msaada natafuta chumba self contained mitaa ya kipawa,jeti,mombasa,banana. njia ya kwenda gongolamboto Dar es salaam. tafadhali naomba msaada Asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIWANJA KINAUZWA KIPO MBWENI MALINDI BLOCK B SQM 840 MKABALA NA OCEANIC VIEW RESORT (KINONDONI- DAR-ES-SALAAM). Bei ni TZS 90,000,000/= kodi kwa mnunuzi. kwa mhitaji pls ni-PM or Call 0653884466...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nokia asha 210.!! Ipo kwenye hali nzuri..!! Ina week tuu since imetoka dukani,,!! Price.:110,000 kana utakuwa seriouz ni pm or whatsapp me 0785673240
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Wakuu nina toyota brevis cc 2500 rangi ni pearl ipo sokoni namba ni t 214 cth, beni ml.12.5 tu ipo dar es salaam, kwa aliye serious anitafute kwa namba 0784 160 421
0 Reactions
3 Replies
1K Views
9kv, 15kv, 50kv hizo ni silent.....50kv ni super silent.zipo kazi kwenu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
OFA! OFA! OFA! OFA! OFA! OFA! Pata website yako binafsi (personal website) kwa bei rahisi kabisa ya Tsh 100,000/= tu. Webiste binafsi ni tovuti yenye jina lako, kwahiyo kama wewe unaitwa...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Salaam sana ndugu zangu wa jf! Mwenye uwezo namuomba anisaidie nipate chumba maeneo ya buguruni sheli karibu na stendi ya muhimbili. Nyumba iwe na muonekano mzuri kwa nje, umeme, huduma ya maji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau bei pikipiki aina ya fekon kwenye maduka dar inauzwa tsh ngapi
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…