Natoa
ofa ya Tshs 10,000 kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa dada mmoja
jina catheline.Huyu alikuwa anapigisha simu kibanda cha simu pale
stesheni ya treni pale shinyanga miaka ya...
tunauza blog website special kwa ajili ya news,stories na mengineyo.website inaitwa walimwengu.com..kama unavoona jina la website linapendeza na kuvutia
website ina muonekano mzuri kwenye desktop...
Viwanja viwili vinauzwa Goba (12 km from Mlimani City), Ukubwa 30 m x 30 m kwa kila kimoja, Vipo pamoja, Barabara ipo, Umeme utafika hivi karibuni kwani nguzo zilishawekwa, Bei @ 13M ila maelwano...
Habari zenu wadau wote wa JF,bila shaka natumaini mu wazima wa siha telee.Nami pia ni bukheri wa afya njemaa.
Kwa wale mlio na matatzo ya nguvu za kiume NGAGATE ni jibu lenu.Nidawa nzuri sana...
Gari ya mwaka 2000
1988cc
120,000km
Stil new full A/C
AM/FM Radio
CD player
Multi-lock Alarm with remote
Gari imetunzwa na bado ina hali ya upya viti na kila kitu ndani very spacious.
Sport Rims...
Nahitaji kiwanja maeneo yafuatayo gongo la mboto,au pugu,au chanika au kitunda ,kiwe kimepimwa na panahuduma za maji umeme na barabara bajeti yangu ni mil.4 weka ukubwa wa kiwanja chako...
habari waungwana. kama kuna mwana JF yoyote anayeishi Mpanda(yupo huko kwa sasa); tafadhali naomba tuwasiliane hapa. Nina shida sana binafsi maeneo hayo. Ahsanteni
Wadau karibuni tena katika kijitangazo changu,wawekezaji wengi kwasasa wamechukua maeneo ya njia hii ya mikoa ya kusini kwa wingi, kujenga viwanda, kilimo na mashule kwa sababu ya maendeleo ya...
habari zenu wana jamii forum!!!
natafuta kiwanja katika jiji la mwanza, kiwe ndani ya wilaya mbili za mwanza, kati ya nyamagana na ilemela, kiwe kimepimwa upimaji shirikishi yani kiwe na namba...
pata maji safi delivered nyumbani kwako
gharama :tshs 15,000 per 1000lts
guarantee : Refund usiporidhika na ubora wa maji yetu
contacts :0782468639
competitive edge...
kwa wale waalimu
natengeneza photo entry za kidato cha nne kwa bei nafuu kabisa.
napunguza ukubwa wa picha kwa viwango vinavohitajika na necta pia.
kwa mawasiliano wasiliana nami kupitia...
Kipo umbali wa dakika tano hadi saba hivi kwa mguu kutoka barabara ya lami, kipo upande wa kushoto ukiwa unatoka mwenge kwenda tegeta, kwakweli ni kizuri sana tambarare na barabara nzuri hadi...