Gari safi kabisa la kisasa linauzwa, Lady driven, engine VVTI Beam 2000, CC 1980, KM 105,000.00 tu, linafanyiwa service ipasavyo na limekatiwa comprehensive January 2014, Lina tairi mpyaaa kabisa...
Nauza shamba tajwa hapo juu. Lipo mafinga kwenye kijiji cha kinyanambo. Lina ukubwa wa eka sita.
Miche ipo elfu sita yenye umri wa miaka miwili toka imepandwa.
Bei ni mil.24/-
Karibu kwa yule...
Naomba kwa yeyote anayefahamu soko la strawberry hapa Tanzania,nimepanda maeneo ya hedaru nitavuna mwezi wa tano nilipanda kwa majaribio Naona zimekubali
Do you need to have at least professional email accounts without / before website? You can skip the website cost and still STAYS professional.
If that was what trouble ring your minds then we...
Habari wadau,
Kuna Pick up single cabin inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri. Inauzwa na owner. ni white, imetembea apprx Km 100,000. ipo Dar, ni nzuri hata kwa biashara. AC yake inafanya kazi vizuri...
Watu binafsi na maofisi hasa kwenye mikoa ya jua kali kama Dar na Dodoma hii ni nafasi ya kuyalinda magari yenu mnayoyapenda kwa bei nafuu kabisa.Unaweza ni PM,email at j.masalu@255systems.com...
Habari ndugu zangu,
Kwanza niwape pole kwa majukumu na pia niwafahamishe kuwa mzigo wetu umewasili japo kuna hitilafu kidogo, box lenye power bank za 5600mAh nasikitika kusema halikuonekana...
Tunaleta spare parts mpya na used za aina yeyote ya peugeot models zote kwa special order,iwe engine mpaka spare ndogo ndogo za peugeot kutoka Europe.Kwa mawasiliano unaweza uka ni pm ama...
new laptops
HP ELITE BOOK 8440P
CORE i5
processor speed 2.4ghz
RAM 4gb
hard disk 600gb
webcam.
bei ni tsh.750,000 kumbuka hii ni mpya.
pia kuna Toshiba satellite pro S500
core i5
processor...
Nauza Toyota IST(2005) straight from Japan
Registration Year / Month
2005/02
Mileage
61,308 km
Displacement
1,500 cc
Steering
Right
Transmission
Automatic
Fuel
Gasoline/Petrol
Wadau kwa heshima na taadhima natafuta gloves ndefu za kushikia vitu vya moto katika bakery yangu, anaejua pa kuzipata au alie nazo awasiliane na mimi kwenye namba 0683370065 au 0769129351...