Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa anaaeweza kuunlock simu tajwa apo juu kwa bei nzuri tuwasiliane kwa pm au no. 0716683434 Nipo Dar
0 Reactions
1 Replies
804 Views
wakuu nauza simu tajwa hapo juu. ipo kwenye hali nzuri, imetumika miezi mitano tu. haina michubuko wala mikwaruzo hata kidogo. bei 100,000 serious buyer contact me thru 0684204980 Arusha
0 Reactions
1 Replies
902 Views
- Do you need Pharmacy or Inventory management system to manage your business? - Modules purchase,stock & sales management - Get it for free now - Limited offer for April For more details PM or...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Jamani natafuta vitu vya Zamani za Kijerumani mwenye nazo ani PM
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu nataka simu tajwa hapo juu iwe kwenye hali nzuri isiwe na michubuko nipo Arusha Budget yangu 110,000
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza simu tajwa hapo juu haina tatizo lolote but ina crack kwenye screen, iko kwenye hali nzuri, bei 120k au kama kuna mwenye huawei y300 unlocked twaweza kubadilishana nikaongeza hela kidogo...
0 Reactions
3 Replies
840 Views
#Ina vyumba3,one room self contained #Ina sebure,jiko,inside toilet n car parking #Maji yapo,luku ya kujitegea #Bei laki 4/Mwezi-Anataka kodi ya mwaka1 #¢ontact me: 0752953860
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza gari Toyota RAV 4, imetembea KM 150,000, rangi ni black metalic, ipo katika hali nzuri, insurance and road licence valid up to February and March 2015 respectively. Ni production ya mwaka 1997.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
mwenye nayo tufanye biznezz nna laki na nusu complete nataka ikikuhusu basi unahusika so tuwasiliane
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Wakuu kuna shamba linauzwa lipo bagamoyo njia ya kwenda msata. Ni km chache kutoka bagamoyo mjini. Eka moja 700,000/= zipo heka 150 mwenyekuhitaji tuwasiliane
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Text/Call 0715872034, niko Dar.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je una ndoto za kuanzisha kampuni, taasisi, vyama nk? Tunatimiza ndoto yako. Tunatengeneza katiba za kampuni, mashirika, NGO's, vyama vya michezo, siasa nk, bei ni nafuu na rahisi...
0 Reactions
2 Replies
758 Views
Shamba la eka moja linauzwa maeneo ya vikindu.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nauza shamba yenye ekari 18 kwa shilingi 35000,000 shamba ipo vikindu Manyani vianzi kwa atake ani pm Ahsante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
je una eneo kubwa la shamba au hata eneo lolote ambalo halijapimwa lakini liwe kubwa, ili tulipime kitaalamu na kulichorea raman za viwanja (town planning drawing) ili iwe faida kwako baada ya...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Karibu Maisha Mikopo, ni mikopo midogo midogo kwa maendeleo yako. Dhamana ya mkopo inaweza kuwa Pikipiki, Gari, Bajaji, Kiwanja, Nyumba au Mali yoyote isiyohamishika. Kopa na "MAISHA MIKOPO KWA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Laptop aina ya msi imekuja na window 7, ram 2gb, hard disc 250,processor duo core,font camera,charger inakaa masaa 5 naiuza 270 tuwasiliane 0653491308
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Heshima kwenu brothers and sisters Nyumba ya familia inapangishwa yombo vituka nyuma ya airport.. Maarufu kama Jet lumo ( kwa jimy " woodland pub") Nyumba ina vyumba vitatu kimoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau blackberry curve 9320 inauzwa kwa bei poa kabisa Tshs.150,000 tu maelewano pia yapo.Simu bado mpya na haina matatizo yoyote.kwa anayeihitaji awasiliane nami kwa namba hii 0712 799 747.kuiona...
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Tv hitach flat Mbele na nyuma Inachogo kidogo Nchi 21 235,000 Deck simsang 40,000 Tv table...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…