processor Intel(R) Core i5 CPU 2.50GHz
RAM 8.00GB
system type 64~bit operating system
Edition windows 10 pro
Kipengele sensor imekufa inabidi utumue mouse, pia battery halikai na chaji zaidi ya...
Eneo lenye Pagale Mbili Linauzwa
Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali.KM 1 kutoka barabara kuu ya Moshi Arusha.
Eneo lina Pagale Mbili Moja Self ya Vyumba 3 na NYingine in ni Double yenye Master...
Habari nauza laptop yangu iko na hali zuri haina tatizo lolote
Ina Ram 4 GB
Charge inakaa sana zaid ya masaa matatu
Intel 1:10 ghz
No:0748008079
Price Tsh 250000
SOLD, SOLD, SOLD
Habari wandugu,
Nauza sofa set yenye jumla ya siti saba (7). Muundo wa sofa ni (Love seat) ambayo ni siti ya watu wawili. L-shape ambayo inaunganisha vipande vitatu. Kipande kidogo cha siti ya...
ITEL TV DOUBLE GLASS 32 INCH INAUZWA
Hali yake: Mpya
Screen Size 32
2 HDMI Port
2 USB Port
VGA Port
AV
COAX Port
RF Port
Earphones jack
Bei 280,000
Mawasiliano: 0768776716
Used Simtanks mbili za Lita 5000 Kila mmoja yanauzwa Magomeni Mikumi. Kila mmoja linauzwa kwa 250,000. Kwa mawasiliano Zaidi piga namba 0687320462 au 0693890769.
Toyota Noah SR 50, Auto Transmission ya mwaka 1999 inauzwa,
Engine bomba haijawahi kuguswa,inatembea kama kawaida
Ipo Dodoma,vibali ndio vimeisha maana ipo parking muda mrefu haitumiki
Bei...
Toyota model:Harrier old model
Fuel type: Petrol
Gear: Automatic
Mileage:180km/hr
year:1999
Cc :2160
4cylinder
Price/bei 15.5m
Contact/whatsapp kwa taarifa zaidi 0759827138
Tcl led 40d2700 smart tv nch 40
Tcl smart tv full hd resolution ina access ya internet Smart tv, ethernet/wi-fi wireless unaweza connect na simu yako or router na kuacces internet kuperuzi na...
Habari ndugu zangu, nauza duka langu lililopo Tandika double kibin sokoni, duka ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukari, ngano, mafuta, sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.
Biashara...
Apdate vyote vimeuzwa.
Kwa anayehitaji chumba na sebule
Nyumba ya kisasa yenye jiko, chumba self, luku na maji unajitegemea.
Kodi laki moja tu kwa mwezi
Nimebakiza miezi mitatu na siku kadhaa so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.