Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Eneo hilo kwaajili ya kujenga hotel au camp site, lipo pembezoni mwa hifadhi ya ruaha national park, barabara imechongwa mpaka hapo kwenye eneo. Eneo limepimwa na hati ipo, ukubwa ni ekari 50, na...
2 Reactions
11 Replies
837 Views
Viwanja vipo Dar es Salaam Kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha Kigamboni College of Health and Allied Science,kwa bei nzur na viwanja vimeshapimwa vipo katika michakato ya hati mita 35*35...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Karibu sana Kiwanja kiko Jijini Mwanza. Kata: Muhandu wilaya: Nyamagana mtaa: Galilaya kiwanja kimepimwa, beacon tayari zishawekwa ukubwa wake ni 28 by 18 hatua za miguu. Miundombinu yote...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
habari ndugu wa jf. nina eneo langu lipo Itez Uyole Mbeya karibu na reli,lina ukubwa wa 60x125mita naliuza kwa bei ya 23 milion.eneo halina hati ila lina documents zote zinazo support na kuonesha...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Viwanja vipo viwili kila kimoja ukubwa wake ni mita 20 kwa 54. Viwanja vyote vipo kibamba Luguruni ambapo ni kilomita 2.5 kutoka barabara ya lami na ofisi za wilaya ya ubungo. Viwanja vyote kuna...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Vipo cheka viwanja vimebaki vichache Bei milioni tatu na laki nne na kuendelea Nicheki kwenye 0713672719[emoji336]0787672719
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Kiwanja kinauzwa Mwanza karibu na Dolphin Lodge. Note: hizi picha ni za zamani kidogo sasa hivi majirani wamejenga. Kwa mawasiliano zaidi pamoja na kuuliza maswali ili kujiridhisha piga simu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF! Kiwanja kina ukubwa wa mita 24 kwa 20 chenye nyumba kubwa iloishia kwenye linta inauzwa,bei ni Milioni 15 (Punguzo unaongea). Nyumba ipo Bomba mbili,unashuka Mombasa(kabla...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii sio ya kukosa viwanja vipo mwembe mdogo Kigamboni vina ukubwa wa mita Kuanzia 20×20 na kuendelea Bei ml 5 pia Unasikilizwa mteja malipo asilimia 50 Kilicho baki ndani ya miezi mpaka 3 tucheki...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Shamba la miti linauzwa.Miti aina ya pines. Ukubwa wa ekari moja na nusu. Shamba lipo tanga lushoto kata ya migambo. Bei ni 5.5M piga cm hapa 0712773128
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za leo wana JF. Ninauza kiwanja changu ambacho kipo Chanika Zingiziwa. Kina hati ya serikali ya mtaa. Kina ukubwa wa sqm 406. Kipo eneo la tambarare, udongo wake ni kichanga. Ni sehemu...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Ninauza kiwanja changu kipo Mapinga, umbali wa km 3.5 kutoka Mbweni mwisho na 2.5km kutoka kambi ya jeshi la anga. ukubwa ni sqm 617. Eneo limekuwa surveyed na nina document halali za umiliki...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kiwanja kipo sehemu nzuri Kibaha - Kiluvya huduma zote zipo Maji, umeme bei ni 4,800,000/= maelewano yapo kwa ukubwa 20/20 mawasiliano zaidi 0717610089
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Eneo la ekari moja linauzwa Kerege Wilaya ya Bagamoyo Eneo ni tambarare na lipo 2.5 km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo Limezunguushiwa fence ya seng'enge Bei 35milion(maongezi yapo)
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street. -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule. -Ni sehemu nzuri...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari!! Kiwanja kinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya cha kigamboni kimebaki kimoja mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000) kutoka ferr mpk kona ya chuo ni km 22...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu, nauza kiwanja kipo maeneo ya mji mpya kimara B dar es salaam maarufu "kwa senga" Kiwanja hakiko square hivyo urefu na upana hauko sawa . Kwa urefu upande mmoja ni 63ft na mwingine ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa ekali 350. lipo mkoa wa Njombe tarafa ya Lupembe Kijiji Cha lwanzali namiundombinu kama maji yapo yakutosha na linafaa kwa kilimo chochote like.kwa mawasiliano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa. (HAKINA UDALALI) Mahali: Bagamoyo vijijini Kijiji cha WAMI STATION (MATIPWILI) Ukubwa: Robo heka na ni TAMBARARE Kipo kando ya barabara itakayojengwa ya EAST AFRICA...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili hapa shamba pori. Eka 50 liko miono chalinze pwani. source ya maji ipo 24hrs. Tsh 220,000 kwa ekari moja call 0683011003.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom