Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Viatu vya aina zote karibu uchague unachokipenda then ntakufikishia popote ulipo ndani ya Dar es salaam kwa garama zangu mwenyewe. Kwa walio Dar es salaam nakuletea free na mikoani unatumiwa kwa...
10 Reactions
10K Replies
353K Views
HELP ni jiko gani la gesi lililo zuri zaidi ? imara na linalotumia gesi kidogo? Thanks.
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Kwa anayehitaji Midoli ya Kuuzia Mawigi tuwasiliane. Ipo zaidi ya 20. Nauza sababu nimebadilisha biashara. Nipo Goba Dar-es-salaam. 0713794962 bei ni 9000tsh kila mmoja
1 Reactions
0 Replies
520 Views
Habari zenu wandugu naulizia wapi naweza kupata Midori ya kuvalishia mawigi na kofia mbali mbali za kike, hapa dar es salaam.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mwenye uzoefu na aina pamoja na bei za machine za kusaga na kukoboa mahindi anisaidie.natanguliza shukrani
0 Reactions
34 Replies
58K Views
Je, unahitaji kampuni bora sana ya kusimamia tukio lako? Inaweza kuwa harusi, mahafari, mikutano, washa na tukio lolote linalohitaji usimamizi wa kina? Basi usiwe na mashaka, kampuni ya Joex...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
2360cc Automatic Petrol 116,000 Kms Haijawahi kupigwa rangi Haijawahi kupata ajali Documents [emoji736] . Masaki . 0717 650800
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nahitaji tent classic, na fundi mzuri wa kupamba tent, kutengeneza keki ya harusi, na awe anapatikaba Mbeya mjini au wilaya za karibu na Tukuyu. Tukio ni mwezi wa tano, kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
2 Replies
479 Views
Toyota vitz Inauzwa milioni 6. Mazungumzo kidogo yapo. Milango mitatu, engine 1Sz cc 997 Mileage 104771km Android Radio (Screen) Full AC Ipo Dar Mbezi ya Kimara 0768882785 Update Gari...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Nauza suzuki vitara namba D gar bado mpya tangu imeagizwa toka japan haijatembea sana Gari ni ya mwanamke ni manual sababu za kuuza: ni manual transmission yeye anataka automati Location...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu habarini za muda huu, Natafuta mtu au watu ambao wanafanya kazi katika sekta ya utalii,naomba unicheki inbox nina swala nahitaji msaada. Nawakilisha
1 Reactions
7 Replies
531 Views
Mzigo umeuzwa ****THREAD CLOSED****
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Habari za jioni wanajf natumaini mko poa Naomba msaada wa kufaham soko Zuri la mahindi ndani na nje ya Tanzania lakn pia naomba kufaham namna ya kupata kibali cha biashara hii ya kusafirisha mahindi
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania fence factory:(0789020813) tupigie. Tunatengeneza na kuuza fence wire aina zote na senyenge Kwa bei ya kiwandani. 2.0mm bei yake ni 55,000/= 2.5mm bei yake ni 75,000/= 2.5mm(kijani)bei...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari watanzania! Husika na kichwa cha habari kwa MTU aliye na Gari ya kuweza kokoto kuanzia cubic metre 10 na anapenda kuitumia zana yake kujipatia kipato nione. Barabarani ni ya vumbi ama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa uhitaji nitafte 0684101707
0 Reactions
5 Replies
611 Views
Habari Naomba kujua Kama pikipik tajwa zinapatikana Mwanza na bei zake zikoje? Hasa hasa Kampun ya Honda au hata TVS JUPITER. Ahsante
0 Reactions
0 Replies
483 Views
Wakuu naombeni mnisaidie ni sehemu gani apa dar es salaam wanauza digital satellite signal finder/meter, na bei yake ni kiasi gani?
0 Reactions
3 Replies
845 Views
Hello wakuu, Nipo dodoma natafuta Mwalimu atakae weza kunifua kwenye Boxing (yaani mapigano yale ya ulingoni kabisa) kama yupo naomba mawasiliano yake.
0 Reactions
8 Replies
598 Views
habari zenu poleni na majukumu, nina pikipiki aina ya tvs inauzwa nipo dodoma bei laki 9 kwa anaye hitaji anichek pm kwa mazungumzo zaidi Karibuni
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…