Natafuta eneo la kukodi nifungue pub
Sifa ya eneo
1. Mvuto kwa mteja
2. Zuri kwa hiyo biashara
3. Unafuu wa kodi
4. Liwepo dar , mwanza , mbeya ,iringa ila napokea ushauri kwa mkoa mwengine wowote
Nyumba ipo Kivule mwisho ( Gongo la mboto jijini Dar es salaam ).
Nyumba ina sieating room,
dinning room,
choo ndani,
na jiko
.Pia ina vyumba vitatu vya kulala ambapo kimoja ni master...
Habari zenu wana bodi,
Baada ya kufanya shughuli za ufundi wa computer mtandaoni na majumbani.
napenda kuwatangazia kuwa IT technician anapatikana.
Kwa masuala yote ya blog and designs...
Habari wanajamvi, natafuta compressor ya ukubwa wa kuanzia lita 200 (au zaidi) pamoja na mashine ya kufumua tairi ya gari kwa ajili ya kuziba pancha. kwa aliye nayo au anafahamu MTU aliye nayo...
Habari zenu!! Nina beat za nyimbo za hip hop ambazo nimetumiwa na rafiki yangu (ametengeneza yeye) yuko nje, naomba mnisaidie wapi naweza kuziuza. Asante!!!
Maeneo yanauzwa maeneo ya pwani(chanika),kijiji cha mlowo,kitongoji cha Ng'unzo..ziko heka 2,7,6 na 10.kila moja inajitegemea na bei yake ni laki nane na nusu.Kwa mawasiliano zaida 0712237599
jaman habari umu ndani kijana wenu nataka kuuza madera mikoa wa bukoba ila sina mwenyeji kwa wale wa bukoba naitaji mwenyeji wa kujulishana biashara hii ya madera please ni pm kama upo tufanye...
Nipo Dodoma, ninauza simu tajwa hapo bei ni Tsh. 250,000/-
Imetumika kwa muda wa miezi 4, haina tatizo lolote na Ina waranty ya 2 years kutoka Samsung.
Specification unaweza kuangalia Google.
Kwa...
Samsung galaxy S duos Inauzwa, Ni almost new, Imetumika kwa muda wa miezi minne tu, haina scratch yeyote, bei ni Tsh. 250,000/- tu.
Kwa yeyote mwenye kuitaji anicheki kupitia Pm