ascend y300 duka la tigo wap hiyo mkuu
bado ipo
Jamani na mimi ninayo madirisha ya mninga complete yenye vioo na wavu yako matano, pia nina grill ya milango miwili na grill za fence nimezitoa kukarabati mjengo...mwenye kuhitaji tafadhali tuwasiliane kwa 0754 211 726 au 0713 211 726 ....Pia ninayo CANON copier pamoja na binding machine nauza...bei masikilizano
samsung galaxy y duos s6102 kwa laki moja tu nicheki 0719210905
Uko mkoa gani?