Kwema mabosi?
Nawakaribisha sana kwa uhitaji wa kuagiza gari toka nje ya nchi. Pia kama una gari na unahitaji kubadilisha tutakusaidia kuuza uliyo nayo ili ufanikiwe kuagiza uitakayo.
Karibu...
FUSO INAUZWA✅
JIPATIE KWA BEI NDOGO OFFER YA SIKUKUU
Mil. 19
Ukilipia Njoo na Dereva wako Gari ni nzima 100%
Vehicle details
Make; Mitsubishi
Model; FUSO
Class; Heavy load vehicle GVM 3500...
Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
TOYOTA HARRIER NEW MODEL MPYAA SANAA (DKM) PRICE MIL 17.9
Make: TOYOTA
Model:HARRIER
Engine code; 2Az
Engine capacity; 2360 cc
Mileage: Low Mileage
Full ac
Full documents.
Transmission...
Habari wadau.
Nina gari Vitz old model. Engine yake inasumbuasumbua inahitaji either fundi makini au half engine au engine mpya.
Half engine nimeambiwa mil 1. Engine kamili mil 2. Mimi nimefulia...
TOYOTA ALLION (DRG) MPYAA SANAA PRICE MIL 12
Make: TOYOTA
Model: ALLION
Engine code 1nz
Engine capacity; 1490 cc
Mileage: Low Mileage
Full ac
Full documents.
Transmission; Automatic
Imported...
Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c
Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana...
Kama una ndoto ya kumiliki sedani ya injini kubwa barabarani basi nmekusogezea hapa mashine hii makadilio ya kuichukua kumbuka huyu ni mnyama zaidi ya mnyama maajabu yake yanayosimuliwa kwa crown...
✍🏾Kwa jina Naitwa CECE motors. Najishughulisha na Uagizaji wa Magari mapya aina zote na nchi tofauti tofauti kama Japan,UK,Dubai, Singapore, e.t.c
👉🏼Pia Nafanya Clearing and Forward Agent Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.