Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

NAITAJI KUBADILISHANA LAPTOPS. NAKUPA MacBook Pro UNANIPA LAPTOP YAKO AINA YOYOTE NA KIASI CHA PESA LAKI 3. LAPTOP YAKO IWE NA SIFA ZIFUATAZO- KUANZIA Ram 3 .hard disk 200gb, intel core 2 duo NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza laini ya Tigopesa pamoja na package ya vitu vyote vitabu,na mabango yake na miavuli kwa laki nne tu. Call 0715 666 777 for only serious buyers
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Je nitapata boxer used bm100 kwa bei ya 700,000= nifahamishe kupitia 0689616537
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba mnisaidie kwa wanaokaa mwanza nyegezi anisaidie natafta chumba ambacho ni.kizuri self container kiwe maeneo ya nyegezi kisiwe na gharama kubwa plz plz plz!!!!!
0 Reactions
0 Replies
672 Views
iwe na uwezo wa kusafisha picha katika karatasi ya a4, ni pm kwa mawasiliano,
0 Reactions
0 Replies
698 Views
jipatie mashati mazuri ya kisasa ya kitenge cha Nyumbani kwa bei nafuu kabisa,rejareja 20elf jumla 16 elf,pamoja tutalijenga Taifa letu mawasiliano call na msg 0756 05 85 65 whatsapp 0686 87 18 87
0 Reactions
0 Replies
2K Views
iwe na uwezo wa kusafisha picha katika karatasi ya a4, ni pm kwa mawasiliano,
0 Reactions
0 Replies
687 Views
nahitaji machine ya hiti yenye uwezo wa kusafisha picha ya size ya A4, kwa mawasiliano zaidi nicheki pm, with regards,
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Habari za leo wakuu. Ninauza shamba langu nimepata shida,lipo Kijaka kata ya Kimbiji wilaya ya Temeke,lina ukubwa wa heka 1 bei ni sh mil 5 hakuna dalali. Kwa mawasiliano no ni 0768334637...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu kiwanja kinauzwa cha ukubwa wa mita 25 kwa 25,kiwanja kipo flati na kimezungushiwa nusu ukuta kipo mtoni kijichi(daresalaam) kama unaelekea mbagara kuu bei ni nafuu..kwa alie...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wana JF: Mwenye nyumba natafuta nyumba ya Kupanga. Kwa mwenye taarifa anijuze. Iwe na vyumba viwili na jiko yaani chumba na sebule na jiko, bafu na choo iwe na maji na umeme. Tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa maeneo ya kinondoni B mtaa wa kanazi kwa shilingi za kitanzania mil.180
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aina zaidi ya kumi tupo airport maeneo ya jet
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa safari waliokuwa wakiumiana kuhuzunika kwa kukaa sana pale airport nairobi na mi nikiwa mmoja wao nimeona mwanga ..wiki iliopita nilipata rafiki kanionyesha ndege ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu wasalaam Natafuta Alteza CC.2000 Registration No; C au D Rangi=Silver Bajeti yangu ni 7,000,000
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Umofia Kwenu, Wadau nina kilo 500 za Mihogo huku maeneo ya minjingu,bei ni laki na nusu kwa kilo moja,kama upo vizuri ni PM tufanye biashara,Kama unataka uletewe hadi dsm basi kilo moja ni 2mils.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samsung galaxy s2 nyeupe inauzwa tsh 220,000 imetumika mwezi mmoja. Contact 0716880022
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa unaweza kupata mafuta ya queen elizabeth kwa bei ya 35000 tu tumia queen elizabeth original ikupe siri ya urembo na utanashati faida zake: -mafuta haya hayachubui -hurainisha ngozi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitaji kwa hapa dar duka la vocha za jumla la bei za chini sana
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja hiki kimepimwa na kina hati ya kutoka ardhi,kiko nyuma ya uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere eneo liitwalo Mwanagati, huduma zote za maji na umeme vipo jirani, barabara ipo na...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…