Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina mil. 9,ninahitaji kununua haice kwa biashara ya daladala. Sina uzoefu na magari lakini sitaki iliyochoka, iwe na namba kuanzia B,isiwe imetembea km zaidi ya laki mbili,mwenye nayo tuwasiliane
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza iphone 4s clean yaani haina icloud mimi binafsi ndo carrent user na nikikupa inakua yako with your icloud bei ni 480000 ikishuka mpaka na 460000 si mbaya mawasiliano yangu haya hapa...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Ipo Ukonga Mombasa. unaweza kuiona mda wowote. Mawasiliano: 0714288996
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Sina la kuongeza, kichwa cha tangazo kinajitosheleza.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
gari ni nzur sana namba b.gari ipo dsm mikocheni tuwasiliane 0683142500,0713132226
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wana jf Nainaitaji BlackBerry Bold au curve Ila ofa yangu ni elf 50,000/=cash Iwe ktk hali nzuri mwenyenayo unakaribishwa. Weka aina ya simu yako hapo chini na number yako Sent from my...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Habari wadau natafuta mtu mwenye vocha ya kiwanja hapo aniuzie nikilipie manispaa temeke
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni Nyumba zilizopo maeneo mazuri Na Kwa bei nzuri kuanzia milioni 22 Na kuendelea zipo maeneo ya Mkolani hapa jijini Mwanza tuwasiliane Kwa 0788752672
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza suzuki escudo bei ni milioni 6.5. Na Hizi ndio details za hii suzuki; Registration number: t 746 aat make: suzuki model: escudo model number: tdiiw body type: station wagon color: blue...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Jipatie Nyumba iliyopo Nyakato Buzuruga Kwa Tshs 7,000,000= ( milioni saba tu) Nyumba inavyumba 6 . Tuwasiliane Kwa 0788752672
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ina Vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo ni self contained, public toilet and bathroom, sebule, dinning na jiko. Nafasi kubwa ya parking. Ipo Ilala sharif shamba. Kwa mawasiliano piga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Duka la dawa linauzwa lipo Tabata bima (new camp bar). Duka lipo katikati ya St Mary School na St Mary College. Duka lina kila kitu na limekamika. Njoo tuzungumze. kwa mawsiliano zaidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa Vikindu maeneo Jirani na chuo kikuu kipya (St. Augustine) ni 20x20 m² bei 3m. Wahi fursa hii kabla chuo hakijafunguliwa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba mwenye kuwa nayo anijuze kwa namba 0765791233 iwe na vyumba 3 vyakulala pamoja na mambo mengine muhimu kama sebule, choo, n.k.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza simu tajwa hapo juu (iphone 4s 16GB)... Ipo fresh kabisa, bei tshs 400,000/= napatikana dar es salaam. Kwa atakaependezwa nayo just pm me.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Hp Deskejet Printer All - in - One J5100 Series ina scanner. Ni mpya kabisa sijaitumia bei 120,000.Ipo Arusha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habazi zenu raia na wasio raia wa bongo napenda niwajuze hiki kitu kidogo tu cha beforward najua wengi wetu tumeona matangazo kibao katika mitandao ila mi naongeza tu kua tuchangamkie fursa wala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
-Ipo eneo la kichemchem karibu kabisa na kidongo chekundu kata ya magomeni tarafa ya mwambao karibu kabisa na eneo itakapo jengwa stendi mpya ya mabasi ya mkoani yatakayokuwa yanapita barabara ya...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Nina shida sana na hiyo kitu ,,kama naweza kupata kwa bei nafuu, tafadhali tuwasiliane...huku kwetu nimekosa madukani.
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Two bedrooms, one master bedroom, public toilet, bathroom, sitting room, dinning area, kitchen and a Suitable Parking area. House is fenced, it is located at Ilala, sharif shamba, about 4 km from...
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…