Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza gari hiyo.kwq mazungunzo zaidi namba za cm hizo 0652622556 whats up 0762474732
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Habarini! Natafuta gari aina ya Rav 4 kwa mwenye nayo anitumie whatsapp niione tufanye biashara 0719474102
1 Reactions
0 Replies
1K Views
5 kwa 6,viwe katika hali nzuri,nipo dsm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nauza belo za mitumba,zipo belo za shati,nguo za watoto,suruali,viatu,nk,napatikana karume number yangu ni 0718375766
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta frame ya biashara, sinza bamaga, kwa size isiwe kubwa na pia kodi isizidi 100,000/= mwenye ujuzi na huu uzi aniPM. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Habari za Jioni Ninauza video game console aina ya SONY PS2 iko complete nikimaanisha ways zone na controller pad, vile vile nauza XBOX 360, 250 gb With KINETICS nato complete, Game zone ziko ktk...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha uzi. MacBook Pro ipo sokoni kwa bei tajwa na ina sifa zifuatazo: Ram: 2 GB HDD: 500 GB Processor: 1.87 GHz Webcam: Yes DVD ROM: Yes Vilevile, PC ni used ila ipo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hard disk 3T inauzwa bei bei 250 ....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ina rangi ya silver GB 16 na imetumika kizungu haina michubuko yoyote bei laki 6 na 30 kwa alieyeserious anichek kwa 0686-156550
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji simu iwe katika hali kwa 250000 htc, samsung, sony, lg, moto, itakuwa vizuri NOTE: Kuwe na uwezo wa kuipata kwa arusha KARIBUNI CONTACT: 0756908809
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Imeuzwa.............
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Toyota spacio iliyo kwenye hali nzuri inauzwa... Mawasiliano +255654838131 picha zai na details zaidi nicheki whasaapp.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Itel 1452 inauzwa. Ina miezi 3 tangu inunuliwe. MP 8, 3G network na inasapot App zote. Bei 120000. 0759960313
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Power bank hyo shs.50,000 kama upo serious ni chek 0716385824
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji machine ya malipo ya SELCOM, kwa alieanayo naomba tuwasiliane PM. Hata km unajua mahali ninapoweza kuzipata kwa hapa Dar nipe msaada wa kupajua! Ahsante.
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Nauza shamba heka 2 na nusu,lipo arusha manyata,ukishuka na barabara ya sadec ni chin ya rel tu ndipo mashamba yalipo,shamba linamfereji wenye maji wakati wote,ni shamba la mpunga na maindi.bei...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaj dislay ya Samsung s4, hata ya kichina nitaweka kwa muda pia mwenye s4 iliyoharibika kitu kingine aniuzie display
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pata VIWA Smartphones at affordable price, kila simu ni brand new na boxed!!!! MAX 5 - 260,000 X7 - 230,000 MEGA - 210,000 MAX - 205,000 V6 - 140,000 A1 - 130,000 Kila simu ina warranty ya...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Nauza vti hvyo.... Chenye km silver kwa mikono ni 230k na hiyo aina nyingne 180k ni chek 0716385824
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Iveco tipa plet namba cvr inauzwa ipo kwenye hali nzuri atakaehitaji #0712400460
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…