Computer desktop 2@150000/=
1.Processor 2.8ghz
2.ram 256mb(unaweza ongeza upendavyo)
3.Hard disk 120gb,nyingine 40gb
4.Cd rom moja iko fresh,nyingine ina vumbi kidogo(kubadilisha ni 7000/=...
1. kiwanja cha kwanza kipo kivule...ukubwa ni 20 kwa 20...bei ni milioni 3.5
2. kiwanja cha pili kipo Chanika...bei ni milioni 4 ....ukubwa ni hekali moja
Viwanja vyote vipo sehemum nzuri
kwa...
JOB VACANCY TODAY 21/1/2015
THE FACILITY IS HEREBY TO ANOUNCE FOR ONE POSITION OF MIDWIFE NURSE WHO INTEND TO WORK WITH AGREEMENT OF BEING PAID THE SALARY WITH REGALD OF GOVERNMENT RANKING...
Natafuta kupanga ktk shirila la nyumba la taifa (NHC), sasa nimesikia utaratibu mwepesi ni kuwatafuta wanaokaa humo ambao wanaondoka ndo taratibu za kwenda ofisini NHC zinafuata, otherwise ni...
Anaehitaji vifaranga vya kware tuwasiliane tafadhali. Tunasafirisha kwenda popote hapa nchini.
Gharama zetu ni zifuatazo.
Siku moja - 2000
Wiki moja-3500
Wiki mbili-4500
Wiki tatu- 5000...
kwa wale wanaohitaji kuchorewa ramani za nyumba na makazi,sasa huduma hyo inapatikana.Utachorewa kulingana na mahitaji yako au utachagua kutoka katika michoro yetu...bei zetu ni nafuu sana...KARIBUNI
Inarecord videos na kupika picha, ina megapixels 8, the package inainclude 1 pen, 1 USB na user manual, mpya kwny box lake, km umeupenda plz PM , bei ni elf 50.
Maelekezo ya ziada;
Product...
KAMPUNI YA MGE inapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa kutakuwq na punguzo kwq bidhaa zote kwa mtu atakaeagiza kutengenezewa incubator ,inverter,backup,energy server kwa kipindi cha christmas na...
Wana JF Salaam
Nina Kiwanja changu kipo Mkoani Morogoro eneo liitwalo Mkundi. Ni KM 1o kutoka Morogoro Mjini kama unaenda njia ya Dodoma. Kimepimwa na kina Offer tayari. Kina ukubwa wa hatua 45...
Habarini wandugu, napenda kuuliza hizi gari aina ya carina kwenye show room naweza kupata kwa 7m? Kwa mwenye ufahamu naomba msaada. Asanten Mungu awabariki