Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

salaam,,,,natafuta betri ya simu tajwa hapo juu,,,,,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jipatie vyombo vya ubora wa juu kutoka CANADA na UINGEREZA tunapatikana Mbezi Beach Mwai Kibaki road ( njia ya chini ) Mkabala na GMB Executive Bar ( kwa Mbaga ). KARIBUNI SANA
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau, kama heading inavyosema, nahitaji carina GT, mwenye hint tafadhali, nimeweka picha ya mfano. Asanteni
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Gari aina ya Nissan skyline inauzwa tsh mil 9. Condition nzuri, petrol, ipo dar
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina pafyum kutoka dubai nauza kwa jumla tu . Nipo dar , nimechukuwa dubai kwa ajili ya kumuanzishia biashara shemegi / wifi yenu .mimi ishu yangu ni spea za gari tu lakini mara hii my waif wangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji mtu mwenye fifa 13 au ya 14 ya pc tuchekiane whatsapp +255758441676
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Bei maelewano....0653309478... Nzima na haijatumika sana ina.miezi 7 tuu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa maeneo ya Nyakato California. Ipo sehemu nzuri gari mpaka ndani. Fence na geti la kisasa. Tiles vyumba vyote. Bei millioni tisini upungufu unaongea. Nyumba ipo standard ya kuhamia tu!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani kuna pagale (nyumba ambayo haijapauliwa) maeneo ya mtwivila, nje tu ya geti la chuo cha mkwawa iringa linauzwa. Limejengwa kwa tofali za kuchomwa, lina linta imara kabisa, kuta zote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samsung galaxy tab 3 mpya inauzwa Tshs 400,000. Internal memory GB16, WI-FI (no sim card slot) Android 4.2.2
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vipo Mbutu kichangani na Cheka-Kigamboni-Dsm. ukubwa tofauti. 30x35 na 35x70 Pia nina ekari 4 ambazo zimepimwa zina offer. bei maelewano nichek 0718 290 779
0 Reactions
7 Replies
3K Views
where can i buy an ebook reader here in dar es salaam. i prefer an amazon one
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari za saa hii wanajamvi,nahitaji laptop ya shs 300,000 npo moshi iwe katka hali nzuri km unayo nitafute 0768049491
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa nawasilimu sana baada ya mchoko wa Bunge la leo. Gari tajwa hapo juu inahitajika .. Mwenye Yard isiyokuwa na uchaakuaji au mwenye muuzaji aisye mbabaishaji tuwasiliane. NB: Mnunuzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima zenu wakuu,Ni katika harakat za kujiajiri kama wenyewe wanavotuasa!MI NATAFUTA ENEO ZUR NINAPOWEZA WEKA MWAMVULI WANGU AU BANDA LA TIGO PESA NA MPESA ILI NIWEZE JITAFUTIA KIPATO NA HATA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shamba hilo lenye ukubwa wa hekari 6 lipo Msongola katika Mamlaka ya Mji mdogo wa Mlandizi, shamba lina michungwa, minazi nk. bei ni Milioni mbili na nusu kwa hekari moja (Tshs.2,500,000) kwa...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Wa yeyote anaehitaji. Shamba ekari 50 linauzwa, zote zimepandwa mananasi, kati ya hizo ekari 30 tayari mamanasi yanazaa, na hizo ekari 20 yataanza kuzaa mwakani mwezi December. shamba lipo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta PA system(amplifier, speaker , microphone nk) kwa pamoja inaitwa PA system. 1.Tafadhali kama kuna mtu anauza iliyotumika(used), nitajie na bei yako tafadhali 2. Pia kama kuna mtu unajua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimebahatika kupata kazi serikalini na kituo changu kiko mkoani, so nimeamua kuuza biashara yangu ili nikafungue ingine huko niandako, tumia fursa hii kuwa mjasiriamali. Maelezo: duka la rejereja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaaam! Kwa mwenye king'amuzi cha azam used kinachofanya kazi ninanunua....ila muuzaji awe Mkoa wa LINDI. Tuma sms; 0688195219
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…