Hello.
We are agent of alliance insurance corporation limited.
For your insurance need please contact me on.
0717935186
psinsurancelimited@yahoo.com
Good commission will be given .
Thank you.
Hallo wana jamii.
Natambulika kwa jina la cobby, nakuja kwenu na biashara ya used sub woofer nilikuwa natumia mwenyewe kwenye gari, unaweza kuunga na buster(amplifier) kwa wale wanaopenda...
1.Ekari 50 liko Kimazichana Ngalawani.
2.Ekari 10 liko Mkuranga Dundani karibu kabisa na barabara.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa number hii 0759135069.
Salamu wakuu Bajaji hapo kwa picha inauzwa bei ya Tsh 4.6 million Negotiable.
imetumika miezi 9 tu, sababu ya kuuza ni dreva wangu amepata ajira kampuni za magari staki kutafuta dreva mwingne...
Kinatafutwa kiwanja cha kununua kwa ujenzi wa nyumba ya makazi kinyerezi, bajeti milioni sita ila mazungumzo yapo.Mwenye kujua alete taarifa hapa jf au anipm
Nawasilisha
Wana JF nauza Furniture, Vitu vya umeme, vyombo na vitu mbali mbali vya ndani. Vitu vyote vipo katika hali nzuri sana, na vimetumika muda mchache tu, (Almost kila kitu kilinunuliwa UK kipya).
1...
Tunatoa lock simu za tecno kama tecno h6 zinazotumia laini ya tigo tu kwenye sim1 kwa ajili ya wanaohitaji kupata 3g high speed
bei tsh 9000 tu tupo mjimwema stand mwembeni kigamboni 0715-387545
Ninauza iPad Mini mpya (sijaifungua kwenye box bado). Kama kuna mdau yuko interested tuwasiliane kwa PM.
Cash Tshs 650,000 kama mtu anahitaji kuinunua!
Kiwanja cha kujengea petrol station chenye ukubwa wa ekari 10, kina hatimiliki zote za ardhi, leseni ya Ewura, tathimini ya mazingira (EIA), kibali cha ujenzi, parking ya magari makubwa ekari 4...
Nina uhitaji wa pikipiki aina ya boxer used mkoani Morogoro, kwa wale wenye hio bidhaa na wanataka kuuza nipm unauza shilingi ngapi na specifications za hio pikipiki,
Natanguliza shukrani,
Habari wakuu,
Nina Volcano box ya kuflashia simu za kichina za aina zote bei ni laki 3
Pia nina UFST ya kuflashia Nokia, Samsung, LG, Alcatel, etc bei ni laki 3
Punguzo lipo kama utayachukua yote...