Gari ni yangu mwenyewe
Imelipiwa bima kubwa - 1,239,000
Leather seat Safar automotive
New tyres
Km 79,000 - OG
Gari haina kasoro yoyote
Bei 31m
Call/watsap 0715140001
Habari,
Hii gari aina ya volkswagen Golf, engine yake imenok inahitaji ovehaul.
kwa anaehitaji tuwasiliane 0626947625
Gari ipo Mbezi Beach- Shule
Price ni 3.3m
Prado machozi for sale
Bei Mil 90
Engine 2tr
Petrol
Automatic
Location Dar es salaam
Gari mpya sana haijarudiwa rangi kokote
Pigs simu ukaone Gari kwa serious buyer ukaongee nae
0714787795
Habari,
Nauza gari aina ya Rav4 milango mitano. Ipo katika hali nzuri kwa bei ya Tsh. 7m na maongezi yapo.
Gari ipo Kimara Dar es salaam wasiliana nami kwa simu no 0713227823 au 0756844197...
Habari wakuu
Land Rover Defender 110
Gari ni ya mwaka 2000
Documents halali zipo
Nzima, kila kitu kiko sawa
Bei 35 Millions
Gari iko Sinza, Dar es Salaam, kwa aliye interested karibu sana na...
Njoo Na Tzs 39.7M Nikuweke Humu Ule Raha[emoji38]
Toleo La Mwaka 2006
Kwa Upande Wa Transmission Ni AUTO
Imekuja Na Engine Inayotumia Petrol Inayofahamika Kama 2TR
[emoji736]Imelipiwa...
Habari wa jukwaa (jamii)
Napenda kuwakaribisha kwa wale wenye uhitaji wa containers kwa ajili matumizi mbalimbali.
Containers zipo za 20feet na 40feet
Kuna used from Japan zilizotumika hapa...
Hi wakuu,
Kuna nagari kemkem,yapo kwenye hali nzuri na kiwango...
We niambie unataka gari gani na budget yako ni ngapi?Ntapost yaliyopo hapa
Karibu
Serious buyers only!
Tiririka hapa
Ama ujumbe PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.