Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naitwa Nassor Khalfan Mugara nimepoteza VYETI VYANGU VYOTE vikiwa katika bahasha moja ya kaki tar 3/08/2024 Eneo la kibaha maili moja. Kwa yeyote atakae fanikisha kupatikana kwake atapokea...
2 Reactions
3 Replies
435 Views
Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo...
6 Reactions
85 Replies
4K Views
Salam wakuu. Kwa yeyote anayehitaji huduma ya kuandikiwa kazi yake iwe kwenye word, Excel au PowerPoint, ndani ya muda mfupi muda wowote ule kijana nipo hapa kwa huduma hiyo. ✓ Kwa upande wa...
1 Reactions
2 Replies
461 Views
Tunaandaa na kuuza ramani za majengo kwa gharama nafuu sana kuanzia 130,000/= na kuendelea. Ni kwa mikoa yote. Tupigie simu au WhatsApp 0759009331.
2 Reactions
6 Replies
841 Views
OFA OFA OFA OFA OFA PUNGUZO KUU LA BEI KWA FLASH BEI YA JUMLA KOXIO 4GB= TSH 4500 8GB= TSH 5500 16GB= TSH 6000 32GB= TSH 7000 SANDISC 4GB = TSH 4500 8GB= TSH 6000 16GB= TSH 6500 32GB=TSH 9000...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hisense smart 4k inch 55 Uhd frameless TV kama mpya Nauza 750,000 0744680670 Free delivery
0 Reactions
37 Replies
4K Views
kazuria ako apo Cha geto nipe elf 70 tu (imported) 0718909429
1 Reactions
10 Replies
931 Views
• Direction: Kisutu • Document: hati • Price: TZS milioni 200 . ✓ ni ghorofa ya 4 ✓ ina lift ✓ inauzwa bila samani (unfurnished) ✓ vyumba master 1 & kawaida 2; public washroom; sebule; jiko lenye...
0 Reactions
4 Replies
570 Views
ENEO LINAUZWA MILIONI 7 LENYE UKUBWA WA (8×12) LINAPATIKANA TABATA CHANGOMBE (KWA DKT KUNDY) DOCUMENT ZOTE ZIPO 0687103112
1 Reactions
12 Replies
910 Views
Mwenye nayo ikiwa 500L itapendeza HP ianzie 10. Location Dar.Iwe na hali nzuri Offer from 5mil.
0 Reactions
4 Replies
497 Views
Shalom, Hope mko poa asee.. makomando na wauza bucha kuna wembe hapa mkali sana kwa ajili ya kazi maalum Ak47 CcCp mpyaaaa 💥🔥🔥 Shiling 20000 tu, free delivery Niko mbagala hapa. Kokote nakuletea
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari Mota ya kuzungusha machine ya kusaga mahindi inauzwa. Mota hii ipo kibaha mkpa wa pwani. Ina Hz 50. Bei sh 1..8m. Anayehitaji karibu. 0758308193
0 Reactions
2 Replies
515 Views
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5. Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
307 Views
Habari wakuu,natafuta chimbo la spare za umeme wa magari kama vile taa,control box ,relays na vingine vinavyohusika na umeme wa magari liwe na bei nafuu ya jumla kwaajili ya kupeleka mikoani hasa...
1 Reactions
3 Replies
651 Views
Kimara hadi mbezi 50,000 Mwenye anafahamu naomba uni pm
1 Reactions
4 Replies
286 Views
nauza sabufa ni mpya kabisa bei ni Tsh130000/= napatikana kariako mtaa wa msimbazi b mkabala na jengo la simba mawasiliano 0655226738 au 0617243351
0 Reactions
3 Replies
351 Views
Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi...
1 Reactions
1 Replies
496 Views
shamba Liko mvuha morogoro ni eka 49 kila eka laki 5 na nusu ila maongezi yapo wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar nasaka 4, kushoto matombo mkuyuni...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Eneo lipo Mwasonga Kigamboni lina ukubwa wa heka 14 ila zinazouzwa ni heka 6 tu bei ni 6M kwa heka moja. Mawasiliano 0784427363.
1 Reactions
4 Replies
600 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…