Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu habari za wakati huu? Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga) Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au...
0 Reactions
1 Replies
464 Views
Nyumba ipo kigamboni kisarawe 2 Nyumba ina Vyumba viwili Jiko Sebule kubwa Choo Maji Kodi ni 130,000 kwa mwezi Nachukua kodi ya miezi 3 Karibuni
0 Reactions
1 Replies
443 Views
Pagale ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko, public toilet, dinning, sitting na store. Kiwanja ni 27*18 bei ni maelewano, Nyumba ipo Msomi! Boda 1000 kutoka Msumi center! Kama upo interested...
0 Reactions
9 Replies
765 Views
Locked to Airtel: 50,000 Universal (All Simcards) : 65,000 Brand New 10hrs Battery Life. Recharge bundles without removing simcard. Buy all 5 + 3Wingles for 180K Contact: 0693341234
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jipatie Drone aina ya KF 102 yenye sifa zifuatazo •HD 4K camera •2 axis Gimbal •1.2 kilometre flying range •25 minutes flight time per battery •5Ghz Wifi frequency transmission •Altitude hold...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga. Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Introduction: Baada ya kuona Monopoly kubwa ya Vingamuzi vya Kichina nimeamua kwenda moja kwa moja Dubai kuwaletea kitu chenye Quality na ambacho hautojuta kwa hela utakayoitoa. N:B Soma kwa...
5 Reactions
165 Replies
34K Views
Huduma zifuatazo njoo nikuongoze 1. Tin application 2. Line za wakala na za lipa 3. Usajili wa jina la biashara 4. Utengenezaji wa logo, poster, stika, busines cards na kuziprint 5. Uandishi...
1 Reactions
0 Replies
214 Views
Wakuu, Nina shida ya kiwanja kiwe kuanzia maeneo Maramba, Salasala kuelekea Bunju au Kibamba ila kusiwe ndani ndani sana.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Bei ya jumla ni PC 10 kwa 130k tu lakini piah ni 25,000/- Kuna edition nne za Scientific calculator na bei zinatofautiana lakini Casio fx 991 Ms first edition ndo bei zake hizo nafuu #usipigwe...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Nahitaji kiwanja kwa bajeti ya 5mil maeneo ya kigamboni chanika gongo la mboto
1 Reactions
4 Replies
562 Views
Paka wa kufuga anahitajika awe mdogo kabisa ambae hana mazingira ya kumuogopa mtu ili nianze kumfuga awe mzuri, mimi nipo Kigamboni ofa yangu ni 30,000, na 5000 ya nauli. Awe paka msafi mdogo...
15 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari nauza kiwanja changu kipo Zanzibar Kiwengwa, kina ukubwa 33*30 kutoka kwenye kiwanja hadi beach ni dakika 5 kwa kutembea. Kiwanja kinafaa kwa makazi binafsi lakini pia kwa biashara Nauza...
2 Reactions
12 Replies
764 Views
TV ziko poa kabisa na ni mpya zilikuwa sampo dukani bei yake ni Tsh170,000/= mikoani pia tunatuma ila gharama ni za kwako mwenyewe, tunapatikana Kariakoo mtaa wa Msimbazi karibia na jengo la...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Shalom....! Najua JF imebeba Watu aina tofauti na Malengo tofauti wenye Imani tofauti...! Ninahitaji kuwasiliana Nabii yoyote ambaye Mungu anamtumia, awe na Kanisa ama hana ni sawa...! Kuna...
1 Reactions
8 Replies
608 Views
INAPANGISHWA CHIDACHI-DODOMA ________ MAHALI-CHIDACHI DODOMA (INATAZAMA BARABARA YA LAMI) ________ MUUNDO (ZIKO 02 KWENYE FENSI,KILA MOJA NA GETI LAKE) -VYUMBA 02 VIKUBWA(01 masta) -SEBULE...
4 Reactions
7 Replies
786 Views
Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 60 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga … mwenye uhitaji anicheki namba za simu 0612630936
0 Reactions
4 Replies
851 Views
Natanguliza salam kwenu Wana jukwaa. Kama kichwa kinavyojieleza, nitakua na KAZI ya mwezi mzima hapa Dar es Salaam natafuta Furnished 1 bed room. Natafuta budget yangu ni 450k. Kama kuna MTU...
1 Reactions
5 Replies
682 Views
NAUZA PLOT, KIBAHA MADAFU/ZEGELENI. KM 5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD. Huduma za jamii zimefika... Maji,umeme, hospital, Total area ni 1400sq meters. Ina hati miliki Vimepakana na Kiwanda...
0 Reactions
3 Replies
536 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…