Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

1. ps2 ndogo zile (slim) 2. iwe ina uwezo wa kucheza flash 3.isiwe ina tumia adaptor 4.kama inatumia adaptor,itakupasa uniuzie pamoja na adaptor yake 5.isiwe na tatizo lolote 6.ninahitaji mashine...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Easy tv kig'amuzi kinauzwa bei maelewano. mawasiliano 0686797938
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Nipo kwenye mchakato wa kumalizia ujenzi. Nimeona milango fulani hivi ya bati (ni ya material ya metal), naskia inatoka uturuki. Hii milango inakuja na frame, pamoja na kitasa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Jipatie vitenge original wax, made in Nigeria, kwa bei nafuu. Bei ni tsh 37,500/= tu kwa doti moja yenye peaces 3. Tupigie 0757460737 tutakutumia popote ulipo.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu...Nauza Samsung Galaxy S5 (SM-G900F) with all its accessories...#It is in very good condition. Price; 850,000/=Tsh For serious buyers u can check wz me through #0714609907 or u...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Ipo simple, inafaa kwa wanaGhetto zaidi na wasiopenda kelele. Ina sorrounding na sub-woofer Ina bluethooth pia Kwa maelezo zaidi 0757460737
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nipo na vyombo used lakini vipo katika very good condition. Naweza kukupatia kwa idadi ya sahani utakazo, au pia naweza kukupatia skids za vyombo mchanganyiko.usisite kuwasiliana nami . 1 647 706...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
1997 , Engine diesel V 6 manual transmission , ipo katika hari nzuri sana number T 305 ADU imetumika kidogo ipo Dar Es Salaam imefungiwa ndani tabata chang'ombe tuwasiliane 0657145555
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Automatic, diesel engine going cheap just for 14ml ABOUT ME! For More Information Please contact : •Call: +255782839988 •Whatsapp: +255782839988 •Dar Es Salaam Tanzania •Service All The Time...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Ninahitaji ps2 mashine tu,yenye kucheza gemu kwa flash,iwe katika hali nzuri,nipo dsm,0658327429
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Habari.Ninauza kiwanja 30x40m kipo 4.5km kutoka mizani ya Mailimoja Kibaha upande wa kulia ukitokea mjini.Gari ndogo inafika wakati wote.Maji na umeme karibu na site hakijapimwa bei...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari za asubuhi. Nahitaji msaada wapi ninaweza pata bidhaa hiyo kwa Dar es salaam. Au kama kuna mtu anauza ani pm tuongee. Nahitaji mpya au used yeyote itakayopatikana kati ya hizo. Iwe na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana jamii Forum. Wakubwa shikamooni wadogo habari zenu. Mimi ni msichana mdogo na nimeanza ujasiriamali wa kuuza wine.ninazo DOMPO,IMAGE na VEYULA kutoka dodoma kwa shilingi 8500 tu..na...
0 Reactions
13 Replies
18K Views
Mambo vipi wakuu,nahitaji simu yenye kusupport functions za smart phone,isiyotumia touch screen,isiwe blackberry.nipo dsm 0658327429
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Lenovo Mini Laptop Processor : 1.86Ghz Core 2 Duo Ram:4Gb HDD:160Gb Operating System: Windows 7 WiFi and Bluetooth connectivity Three USB Ports,HDMI Port price;tsh.250,000/= Very light laptop with...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
imetumika mda wa mwaka mmoja inauzwa sh 70000 haina tatizo lolote
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Wadau nauza samsung galaxy mega used ipo katika condion safi android 4.2.2 gt-i9200 internal memory gb16 external memory gb8 bei Tsh.600000 maelewano yapo mawasiliano 0714 508199 or 0715387545...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Natafuta used (zilizotoka nje) motorbike aina ya KTM, ni wapi ninaweza kupata kwa hapa Bongo Any mdau mwenye taharifa nakaribisha mchango wake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kununua smartphone aina ya Tecno kwa 200,000
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu hakuna asiejua kua kizaz iki cha digital bila smartphone basi watu wanapata wakati mgum.. Okay leo nawaletea smartphone hii hapa HTC ONE M8 ... Ni sim nzuri kabisa na ipo katika ubora...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…