habari watu wote humu napenda kuomba kama kuna mtu ana uza ama kujua mtu anaye uza gari aina ya spacia new modeli ambayo isha tumika/yamkononi anijulishe kupitia no 0767353440 nipo moshiii
Nyumba yenye vyumba 3, sebule kubwa na sehemu ya kulia chakula. Parking kubwa. pia ina fensi ya ukuta. Nyumba ipo Basihaya, Boko, Dar.
Tuwasiliane kupitia 0654715457 kwa picha na maelekezo zaidi.
KGE & MGE inawakaribisha wajasiliamali wote wafugao /wanao tarajia kufuga kuku ,kuwa tuna unda na kuuza mashine za kuangulia vifaranga vya kuku kwa gharama nafuu sana.mashine zetu huweza kumfikia...
Nauza mikanda ya kupunguza tumbo.ndan ya wiki moja tumbo linaisha kama ukiwa serious.MKANDA MWEUS NAUZA ELFU 40 NA MWEUPE ELFU 30.NALETA ULIPO.NAPATIKANA KWA NAMBA 0712620078
Kiwanja kinauzwa Iringa Mjini.
>Kipo Mawelewele Iringa mjini.
>Kina ukubwa Wa 26.6m * 42m = sqm 1117.2
>Huduma za jamii zipo jirani (maji na umeme).
>Hakijapimwa ila barabara za mitaa...
Tunauza sabuni za liwa na manjano zilozotengenezwa kwa mimea ya asili ambazo hulainisha ngozi,huondoa chunusi,vipele na huondoa mafuta kwenye ngozi
Tunauza kwa bei ya jumla dozen moja ni 25000
Salamu zenu Wote,
Nauza mafuta ya Alizeti Halisi bei ni kama ifutavyo:-
Galoni 4 za lita 5(katoni) bei ni Tsh 60,000/-
Galoni 6 za lita 3(katoni) bei ni Tsh 60,000/-
Ndoo moja ya lita 10 bei...
With all accessories
Htc one v and htc one incredible s for 180000
Htc one m7 for 490000
Sony Experia Z for 490000.. All in TSHS negotians allowed
Contact me through 0653177733
Whatsapp, Calls and...
wakuu laptop bado iko kwnye hali nzuri ilinunuliwa dukani mwezi wa nane mwaka jana specification zake ni kama ifuatavyo hd 500 ram 2gb operating system 32 bit cerelon 29579u
namba yangu ya simu...
KUNA KADI ZA HADI KUANZI 500 ,1000,2500 HADI 3000 HIYO BEI PAMOJA NA GHARAMA ZA UCHAPISHAJI.NIPO POSTA INKURUMAR STREEET, KWAMAELEZO ZAIDI PICHA ZA KADI NA BEI ZAKE TUWASILIANE KUPITIA 0716628257...