Haya wadau,
Nauza nyumba ambayo itahitaji maendelezo kidogo kwenye eneo zuri la Gangilonga. Kiwanja ni kikubwa mno na unaweza kujenga nyumba nyingine kubwa kwa nyuma. Kipo maeneo ya Gangilonga...
*Kiwanja Kipo Goba Tegeta 'B'
*Ukubwa 1200 Mita za Mraba.
*Gari linafika hadi kwenye kiwanja.
*Umeme Upo jirani.
*Hakina hati wala hakija Pimwa.
*Hakina Migororo, Mwenye kiwanja anaishi hapohapo...
Hey wadau, nimeichoka simu yangu ila bahati mbaya siwezi kuitupa. So kama kuna aliye na simu original iliyo kwenye hali nzuri na yenye thamani isiyopungua laki mbili na nusu then nitafute tuone...
Kiwanja kinauzwa kibamba njia panda
karibu na kibamba mwisho
kiwanja kiko karibu na barabara ya morogoro
kiwanja ni tambarare
ukubwa 30*25
bei ni tsh 12mil
maongezi yapo
mawasiliano...
Vitu mbali mbali vinauzwa
System, Radio ya Sonny whats 4600 beiyake-300,000/=
Meza ya chakula ya mninga na viti vyake sita-260,000/=, Kabati la TV na kuwekea vitu vingine kubwa-...
HTC 620g dual SIM
5ins. screen
Android 4.4.2
8GB internal memory with micro-SD slot
Original accessories, box + back case cover
Color dark & light grey.
Phone is in VERY good...
Habari wakuu.
Nauza Samsung notebook pamoja na external aina ya transcend StoreJet 25M3 USB 3.0 original (serial zimekuwa verified) hard disk terabyte 1 kwa laki 330.
Specifications za laptop...
Tunafanya;
-Web design
-domain registration
-create private email accounts
-Web hosting all year
Kwa gharama nafuu sana.
Contacts: 0657 070 525 for more information..
Habari zenu wakuu,
Ninahitaji used Tv inchi 42 kampuni yoyote lakini iwe bei poa na isiwe mbovu. Mwenye nayo au anaefahamu ni wapi naweza ipata tafadhali aweke details hapa.
KARIBU TANZANIA EDUCATIONAL PUBLISHERS LTD (TEPU), UJIPATIE VITABU MBALIMBALI VYA KILIMO NA UFUGAJI,HAKI NA SHERIA ZA WANANCHI,AFYA,VITABU VYA WATOTO,HADITHI/RIWAYA,SIASA NA MAENDELEO. N.K, KWA...
Habari wakuu. Nauza Samsung notebook pamoja na external aina ya transcend original(serial zimekuwa verified) hard disk terabyte 1 kwa laki 330. Specifications zake kwa haraka haraka hizi 4 GB RAM...