MODEL: Boxer
MODEL NUMBER: BM 125
LOCATION: Tegeta, DSM
Iko vizuri kabisa na ENGINE haijawahi kuguswa
Ina registration card
BEI: 1,100,000/= maongezi yapo
NICHEKI PM KWA MAWASILIANO ZAIDI
Hello there !
Niko Mbeya, katika Uzi huu ntakuwa naweka bei za vyakula
Mbalimbali kutoka Mbeya, kama mtu unataka utawasiliana
Na Mimi,makubaliano yatakuwa hivi, mi nitaweza kukuagizia
Kuanzia...
Nahama mkoa nauza chap hivyo kwa mwenye uhitaji
KITANDA CHA CHUMA 5X6 NA CHAGA ZAKE BEI 140,000 TU
FRIJI KALI LA MTUMBA MADE IN SOUTH KOREA BEI NI 180,000 MASHINE YAKE HAIJAWAHI KUGUSWA WALA...
Habari wakuu!
Nauza vitabu vifuatavyo:
1. Conceptual Chemistry Class XII Volume 1 Bei=
2. Cell Biology, Genetics, Molecular Biology, Evolution and ecology Bei 28,000/=
3. Advanced Physical...
4G SOLAR PTZ CAMERA
Available, built in Simcard slot, mobile view access, no need of electricity
Camera hii ina Solar panel yake inayosaidia camera kupata power, hahiitaji umeme, battery lake...
Mashine ya Kufua na Kukausha nguo 10kg inauzwa bei chee. Acha kufua kwa kutumia mikono. Kazi hiyo ziachie mashine zifanye.
Bei 450K
Wasiliana na muuzaji: 0757669270
Jipatie Tshirts na Bukta Kali Sana Za Mtumba Kutoka Kwetu
T-shirts - 8,000(Fixed Bei Ya Ofa)
Bukta - 10,000
Unaweza Kutucheki Instagram @dj_mitumbagradeone Au Tupigie/WhatsApp 0657576369 Ujionee...
Habari ya leo ndugu waTanzania na wote msomao mada hii. Hope you are good with your life.
Leo napenda niwape ushuhuda wa maisha yangu jinsi fridge lilivyo badilisha maisha yangu na kuongeza...
Nina Kamera mbili nilinunua nikiwa naanza kujifunza maswala ya picha, kwa sasa sizitumii, bado ziko kwenye hali nzuri sana, nauza kwa bei ya kutupa.
Sony nex-6
Iko na chaji yake na kit lens...
Nauza Camera yangu aina ya lumix s5. Niliinunua ikiwa mpya na nimeitumia kwa muda wa mwaka mmoja. Haina tatizo lolote na iko kwenye hali safi sana. Ni nzuri sana kwa ajili ya kufanyia video...
Habari wana JF
Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa pamoja na vifaa vyake ikiwemo sehemu ilipofungiwa umeme wa three phase, maeneo ya Dar Es Salaam, Gongo la Mboto. Mashine ina miezi 10...
Hili ni Trailer la mtumba kwajili ya kubeba mizigo ya Abnormal,ukubwa wa exle 4, liko Johannesburg South Africa, bei yake ya manunuzi pamoja na ushuru usafiri ni 160ml Tsh, wasiliana na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.