1. Vacuum cleaner (kwa ajiri ya kuondolea vumbi sehemu mbali mbali kama carpets)
2. Gardening pressure mashine (kwa ajiri ya kusukuma maji kwa ajiri ya kuoshea vitu kama magari au kumwagilia)...
Kiwanja kinauzwa eneo la Nkuhungu barabara ya Singida karibu na yard ya Bhanji ukubwa Ni hekari 3.5 eneo lina hati halali ya CDA bei Ni 25M wasiliana Nami kwa 0685-411-882
Nasisitiza piga hizo namba hapo juu kwa mahitaji ya kutengenezewa mageti, grill za milango na madirisha,vitanda vya chuma kwa matumizi ya nyumbani, hostel,guest house, pia viti vya chuma kwa...
Tunauza na kununua magari used, pia vifaa vya electronics, nyumba na viwanja.
Pia tunatoa ushauri wa biashara, kodi pamoja na kuandika business plans and project proposal.
Hotlines 0787074898...
Pikipiki aina ya King Lion yenye miezi tisa inauzwa. Ipo katika hali nzuri na haijawahi kupata matengenezo makubwa. Inatembea na kufanya kazi zote na inafanya kazi za Bodaboda.
Mwenye kuhitaji...
SIMU tajwa hapo juu ni almost mpya nimeitumia kwa wiki 2 nauza shiling laki Tatu tu kwa maelezo zaidi unaweza kunicheck kwa 0686274501 najaribu kutuma picha naona zinazingua I will try again later
Natafuta nyumba ya kupanga eneo la nyakanazi yenye sifa zifuatazo: iwe na vyumba 3, iwe na choo na bafu, iwe imepigwa lipu na sakafu.
Kwa mawasiliano piga 0765354360 au 0688354360
Tunawatangazia mkutano mkubwa wa injili katika kanisa la FPCT Nyakanazi utakaoanza 15.07.2015 hadi 19.07.2015.mwinjilisti machachari, wa kimataifa, Mch. ERASTO NDEBEREHO atahudumu. Kwaya...