Kiwanja kinauzwa kiluvya kwa Komba
Umbali wake ni mwendo wa kutembea kwa mguu kutoka morogoro road
Bei milioni 7 na nusu tu
Ukubwa MITA 22 kwa 23
Kiwanja kina matofali,umeme na maji ya dawasco...
ALPHA CONSTRUCTION GROUP
📌Huduma zetu zinapatikana kanda ya ziwa na nchini kote kwa ujumla.
🔰Karibu tukujengee Mashimo ya Majitaka kwa Mifumo ya kisasa.
FAIDA ZAKE.
🔰Mashimo haya...
Natafuta simu bajeti kuanzia 450k mpaka 550k nzuri makini, Storage ya kutosha ndani, camera kali, battery life nzuli, iwe faster, isiwe inapata moto, isiwe Infinix, Tecno, GooglePixel au Itel na n.k
Naitaji dish la Azam na King'amuzi chake
Nataka used kutoka kwa mtu ambae anauza
Nataka Kwa ajili ya sehemu ya biashara
Niko Dar es salaam
Mtu yoyote ambae anauza then nipm
Ukiwa na risit ya...
Yes, Nauza harrier tako la nyani m31 karibuni sana. 0715 494920 & 0783 708437. Gari ipo Msasani karibu kabisa na kituo cha polisi ostabey mpya. (Mazungumzo yapo kidogo)
Wapendwa katika biashara, nataka kununua Fuso la kubeba Mizigo ya Mikoani. Sijawahi kufanya biashara yoyote ya kusafirisha mizigo wala ya magari aina yoyote. Ningependa kujua yafuatayo kutoka kwa...
Tunapenda kuwakaribisha wateja wote wenye mahitaji ya kazi za aluminium na upvc, kufanya kazi nasi.
Tuna mafundi bora wenye uzoefu na weledi wa kazi, tunafanya kazi kwa uaminifu kwa kuzingatia...
Dirisha la futi 5x5 ni 250,000
Dirisha la futi 5x6 ni 260,000
Dirisha la futi 6x6 ni 280,000
Dirisha la futi 6x7 ni 300,000
Dirisha la futi 7x7 ni 330,000
Tupigie simu no 0659557284
Habari wanajukwaa, napenda kuwakaribisha wale wote wanaohitaji kukata bima ya afya kutoka jubilee karibuni sana nitawahudumia.
Katika bima ya afya ya Jubilee unaweza kukata ya mtu mmoja, mtoto...
Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya kisasa au Ilazo North Offer M 14 Kiwe na ukubwa wa Square M1000. Kama unacho piga 0789 919393
Sent using Jamii Forums mobile app
Library ya movies za kutafsiriwa na zisizotafsiriwa inauzwa ipo mabibo NIT chuo cha usafirishaji, library ipo barabarani kabisa, unaweza kukaa mwenyewe au unatafuta kijana ukamuweka kuingiza...
Habari JF,
Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako?
Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote...
Natumaini mko poa. Mimi nauza CPU yenye jina Dell Omniplex 780 Intel cup duo 3.06 GHZ, 6.0 GB RAM na HDD 210. Hii ilikuwa inatumika ofisini
Bei sh 150,000
Imerumika miezi kadhaa tu
Piga hii...
Habari zenu. Mimi na mume wangu tunauza vitanda 4 vya futi 3 kwa futi 6 viko 4 maeneo ya kibaha kulikuwa na mradi wa ufugaji ngombe Sasa mradi haupo Tena. Vitanda vilitumika kwa wafanyakazi...
Sio wote tunajua umhimu wa WRITEUPS za kimkakati na kimaendeleo hasa katika kuleta ukamilifu wa WAZO lako. Wengi tuna mawazo mazuri sana kichwani ila yako random..ndipo inapokuja HAJA ya kuandika...