Je naweza kupata betri used ya gari ya volt 12 ambayo bado iko vizuri?. Nikipata kubwa ya volt 24 itakuwa mzuka zaidi. Nataka nitumie kwenye Inveter
weka bei tufanye biashara.
Pata selfie sticks ambazo kazi yake ni uezeshaji na uboreshaji wa picha za kamera ya mbele(selfie)
Hii selfie stick itasaidia picha kutokea katika ukubwa zaidi na inasaidia kuwepo kwa watu wengi...
tunadeal na mapambo mbali mbali ya garden water fountain aina tofaut.
follow us on
instagram : enterior desgner or expricity flooring
whatsup: 0756181677
Wadau,
Ninazo QuickBooks Pro za mwaka 2014, inapatikana ikiwa full package: Ina video za kuonyesha jinsi ya kutumia kuanzia ku-enter bills, pay bills, create invoices.... etc Pia ina keys zake...
Nyumba ya vyumba3, Masterbedroom1, Sebule, Jiko, Choo cha kushea ndani, Sehemu ya Chakula, Eneo la maegesho na uzio.
Pia ina nyumba ndogo nyuma ya chumba Choo.
Bei 900,000/month, Kodi ya Mwaka...
Bar yako ya dagaa dagaa lounge ya Sinza legho inakuandalia ofa tamu ambapo mteja akinunua bia mbili za castle light atapewa bonus ya bia nne za castle pamoja na kuku choma.
bonus hii itakua ni...
habari wadau.
attention wagombea wote ubunge, udiwani, etc..
na print t shirt za uchaguzi kwa bei nzuri sana ( win win situation) kutegemeana na artwork yako..
t shirt za round zinaanzia...
Habarini wakuu,
Asali mbichi ya nyuki wadogo sasa ni kwa Tshs 190,000/= tu kwa kila dumu la lita 20, na asali ya nyuki wakubwa kwa Tshs 130,000/= Tu.
Bei hizo ni hadi kuletewa mzigo popote pale...
Habari.Nyumba yenye vyumba vitatu choo na siting room inapangishwa. Nyumba iko Arusha Sakina White rose. Bei ni 250,000/ kwa mwezi. Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii 0763 65 13 41...
Hello,
Natafuta sehemu/kiwanja cha kununua ili nijenge fremu kadhaa kwa ajili ya kukodisha.
Eneo liwe limechangamka,au linaelekea kuchangamka kwa kuwa na watu.
Priority ni Dar, Dodoma, Mwanza...