SIMU TAJWA KATIKA KICHWA CHA THREAD HAPO JUU INAUZWA IKIWA NA SPECIFICATIONS KAMA IFUATAVYO
NETWORK
Technology
GSM / HSPA / LTE
BODY
Dimensions
148.5 x 76.4 x 7.8 mm (5.85 x...
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Ubungo, Kimara au Mbezi iwe na maji yasiyosumbua umeme wa kujitegemea, geti na fensi vyumba viwili jiko sebule na choo ndani isiwe mbali na barabara kuu ya...
KIGAMBONI TOANGOMA
Viwanja vipo kuanzia milioni nne na nusu na kuendelea
1. Mita za mraba (meter square) = 845, bei milioni 18
2. Mita za mraba (meter square) = 750, bei milioni 15...
Habari wakuu,
Mimi ni mjasiriamali mdogo,ninahtaji mkopo kutoka kwa mtu binafsi ambae atanikopesha fedha kwa ajili ya kukuza mtaji wangu wa biashara,malipo ni kila mwisho wa mwezi na pia nipo...
Ukubwa ni 26×20 vipo vitatu kila kimoja ni milion 5 maongezi yapo umeme umefika kama wiki mbili zilizopita
Maji bado hayajafika kwa maelezo zaidi ni pm picha ntarusha badaye.