kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Ubungo, Kimara au Mbezi iwe na maji yasiyosumbua umeme wa kujitegemea, geti na fensi vyumba viwili jiko sebule na choo ndani isiwe mbali na barabara kuu ya Morogoro (mwendo wa miguu) .
Mwenye nayo anipigie 0766 989103
Mwenye nayo anipigie 0766 989103