Nashindwa kuelewa kwa nini watu wanashindwa kutumia hii fursa ya kutangaza (Kuuza na Kununua) hapa JF. Ni watu wachache saana tunatumia hii fursa.
Kwa nini nasema hivi:
Nimegundua kuna watu wengi...
Kiwanja kipo kisongo pembeni ya soko ukubwa 20*22 ninamatatizo na kesho ndio hukumu ya kesi yangu napokea hata nusu nyingine ndani ya mwezi mmoja 0764 759 314 kwa anaye hitaji
Hello!
Kama kuwa mtu anafahamu wahusika wa kuingiza hivyo vitu na kuviuza jumla wanijulishe.
Hata kama wana mzigo kiasi tu sio tatizo. Navyohitaji nguo za kiume na za kike, viatu vya kiume na...
Habari wanaJF, natafta Engine ya GARI Toyota suef kama ilivo changanuliwa hapa.
* Vehicle Details.
- make- Toyota
- model- 4RUNNER
- model number - LN135
- year of manufacture-1992
-...
Imelipiwa motor vehicle na insurance hadi 2016.
Inavifaa vyake vyote.
Engine cc 1990.
Gari ya mwaka 1999.
Ina roof mbili kwa juu zinafanya kazi zote.
Mawasiliano 07830858558/ 0769881984/...