Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari Wana JF. Wakuu nimeleta mashine za kilo 7 za kufulia, aina ni Dnyker, high quality brand kutoka China ikifanya mauzo vizuri sana bara la Ulaya (Europe) Zina uwezo wa kufua, kusuuza na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nauza friji ndogo single door hisense fridge ni mpya kabisa sijaitumia hata siku 1, bei 200,000 fridge ipo tabora nzega, mwenye uhitaji anicheki.
1 Reactions
0 Replies
608 Views
Nauza machine ya katungeneza kahawa , capuccino etc. Inaweza kutumika ofisini , nyumbani, au hata kwenye biashara kuuzia chai na kahawa. Machine iko automatic na inaweza kukupa hesabu ya vikombe...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mtambo mdogo wa kuua Mbu pamoja na Dawa zake ⚕ Hakuna moshi, hakuna harufu mbaya ⚡️ "Kwa Tsh 11,000 utapata -Mashine -Dawa Box 1 -Free Delivery 🚚 Price 11000 Tsh ☎️ WhatsApp...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale ambao Computer Laptop au Computer Desktop zao ni nzito mpaka unahisi kero usijali. Mzigo huu hapa SSD SATA III GB 512 kwa Tsh 80,000/= tu unafurahia maisha kwa Computer yako kuwa chap...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mali bado mpyaa zina mabox yake na documents zake hakuna ujanja janja, sababu za kuuza ni matatizo yanayohitaji hela ya haraka Home theater Og ya LG WATS 1000 Ina spika 4 na mja ndogo mziki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jodam-supply utapata kampuni yoyote ya tv kwa bei ya nafuu ,ambapo sehemu nyingine huwezi kupata Unaweza kulipia kidogo kidogo bidhaa zetu utapewa mkataba maalumu Mfano Tv inchi 32 aina ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
OFFER OFFER 🔴MONEY COUNTER MACHINE / MASHINE YA KUHESABIA HELA . . 🔺Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services, epuka kupoteza pesa kwa kuchanganya...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Karibu nikupatie ramani ya vyumba vitatu kwa shiling 20000 tu ina .sitting room .dining room .korido .public toilet . 1 master bedroom .2 normal room .vibaraza viwili mbele na nyuma Nb haina jiko...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Bajaji iko kwenye hali nzuri, bei ni milioni moja na laki tatu tu. Iko Sinza, Tuwasiliane kwa namba 0688066177 kwa mwenye uhitaji, Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
630 Views
Habari wanajukwaa nauza perfume za kike na za kiume kwa bei ya 40,000 tu na ni brand ya kizawa kabisa Inakaa muda mrefu na inaweza kusikika harufu yake kwa umbali mrefu,napatikana Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
JE, UNATAFUTA BIDHAA ORIGINAL DAR? ANISUMA TRADERS NDIO SOLUTION YAKO SONY, HITACHI, PHILIPS, MOULINEX, TEFAL, VENUS, JBL, ELECTROLUX, ARISTON PIGA NO:0684 885 888 Tupo Mlimani City Mall DSM...
0 Reactions
1 Replies
585 Views
One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp...
2 Reactions
61 Replies
16K Views
Habari zenu wadau. Habari njema kwenu nyote wana teknolojia, Karibu ozone ujiptie SSD, RAM na Vioo vya laptop kwa bei rahisi na nafuu. SSD, RAM na Vioo vyetu ni vipya kabisa kwa maana ya kwamba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za jioni nipo Dar es salaam nauza Rim paper size ya A4 gm 80 kwa bei ya sh.55,000 kwa kila carton mikoani natuma bila tatizo na kwa uaminifu kwa maelezo zaidi nicheki 0789386320. Karibuni.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana jamii Poleni kwa majukumu ya kujenga taifa Contena zina ukubwa wa 20ft Zina documents zote za umiliki Zipo kwenye hali nzuri Location: chang'ombe Price: 4.3m Mawasiliano: 0656 387577
0 Reactions
3 Replies
849 Views
STREETLIGHT Karibu Ujipatie Taa yenye Muonekano Mzuri na Yenye Mwanga wa Kutosha kumulika Eneo lako. Taa hizi za Streetlights unaweza Kuifunga katika Hotel, Shambani, Godawn, Shuleni, Barabara...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Printer hp 7500 a wide format------laki 3 Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu Sigma lense 170-500----------------laki 4 Studio light na background yake laki 4 Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kitu imenyooka haina shida yoyote 0744 033 555 Bei: 520,000
0 Reactions
3 Replies
518 Views
Back
Top Bottom