Hi ndugu zangu wapendwa...
Nauza. Latin za Wakala za airtel money ...
Ziko tano .
being ni sh 170000 kwa moja pia unaongea.
mawasiliano ni 0683708181
0657971779
ninauza gari hii ikiwa katika hali nzuri na haina tatizo lolote
Ni manual
Model ya mwaka 92
H1Z engine
4w drive
engine still intact(haijawahi kufunguliwa
kama utahitaji kuiona nijulishe kwa...
Ipo Dar es salaam,,MBEZI KIBANDA CHA MKAA,MOROGORO ROAD.VYUMBA 3 vya kulala,SEBULE KUBWA,VYOO 2,STOO,JIKO,chumba kimoja kinajitegemea kwa choo,MAJI yapo,UMEME upo nyumba imezungushiwa Fency,KODI...
Tunafunga mashine automatic za kumwagilia garden kutoka USA ni automatic kabisa unaiprogram inamwagilia yenyewe bila kuwepo mtu pia unaweza kumwagilia kwa remote au kwa simu yako ya smart phone...
ukubwa: heka 5
bei: laki 8 @ heka
mahali: ifakara- mngeta
sifa za shamba:.
Liko tayari kulimika, kuna mto pembeni ivyo unaweza kuendesha umwagiliaji,kilimo cha mpunga,cocoa linafaa...
Nyumba Inauzwa kinondoni Tsh mil 450
Ina flame za Maduka mbele lakini nyuma ina eneo jingine kubwa la Uwazi, Eneo lina kibali cha kujenga Ghorofa Tisa. kiwanja kina Hati na vibali vingine vyote...
Napangisha nyumba moja ipo morogoro maeneo ya forest karibu na morogoro hotel, nyingine ipo dodoma area E karibu na area D au gate la airport, zinafaa kwa makazi au ofisi.
Kwa mawasiliano...
Pata website kwa bei poa kuanzia 280,000Tsh na kuendelea kutegemea na aina ya website Contact: 0653573232 Email: info@gobongotech.com Website:GO BONGO TECH Karibu sana
Viwanja vyenye ukubwa vinauzwa Chamazi eneo la Mbande kwa masista, eneo ni tulivu kwa makazi ya binadamu. Tambarare na mwinuko. Ukubwa wa viwanja 50ft x 40ft na bei ni 7,000,000. Mchanga, maji...
Nauza gari Yangu kwa bei rahisi sana only 5,500,000.
Mahali ilipo ni Zanzibar.hio ndio bei ya mwisho hakuna kupatana.
Gari ilikuwa inatumika kwa ajili ya familia Yangu.nimeamua kuiuza sbb nataka...
Wapendwa salama!
FEDE burudani inakuletea December to January special offer, kwa huduma ya MUSIC & MC kwa Tsh 490,000/= tu kwa tukio nzima kati ya haya;-
Harusi, kitchen party, send off...
Aghalabu kuna aina mbili za harufu ya kinywa. Ya kwanza ni harufu ambayo husababishwa na matatizo ya meno au fizi. Nyingine ni harufu ambayo hutoka tumboni, na mara nyingi hii hutokana na...
Wahi viwanja vitano (5) vilivyopimwa, makao makuu ya mkoa wa Pwani 25Km kutoka Dar es salaam.
Mahali: mailimoja njia ya pangani 4Km kutoka njuweni
Huduma za jamii kuna umeme na maji hapo hapo...
Experienced person in Project Proposal Writing is needed to start the assignment as soon as possible.We are looking for a person who:
*has a passion in volunteerism;
*can volunteer 100% i.e...
Habari wadau natumaini mpo salama kabisa
Kuna viwanja vinauzwa vipo kibaha madafu karibu na kiwanda cha nondo pia kuna shule ambayo ni advance n olevel 20 kwa 20 ni Tsh 1,500,000/=
Au kama...
Haloo wakubwa.
Nauza Suzuki Carry kwa milioni tano tu (5m). Ipo Dar ukitaka kuiona muda wowote nitafute kwa no 0687702626. Ipo Kigamboni. Sababu ya kuuza nimeshindwana na madereva.
Odometer ...
AL-JAZIRA
A
MPYA
TANGAZO
AL-JAZIRA ENGLISH MEDIUM PRE AND PRIMARY SCHOOL MBINGA
SHULE IMESAJIRIWA KWA NAMBA RV:03/3/003.
Ina watangazia nafasi za masomo kwa kwa...