Habari wakuu! Nahitaji kupata jenereta nzuri ya 25kVA – mpya au used.
Kama kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata na bei zake zinavyorange, tafadhali naomba ushauri wenu. Asante!
Plot ipo barabaran kabisa
Ina hati ya kisasa
Plot imejengwa nyumba za kisasa za kupangishwa ikiwemo fremu saba za biashara.
Huduma zote za kijamii zipo ikiwemo maji na umeme
Plot ina ukubwa wa...
Nauza betri used zlizotumika kwenye minara ya simu
Ni betri imara ikijaa mpk ije iishiwe moto sjui uwe na matumiz gani
Zipo zenye uwezo wa kuanzia 100ah/N mpk 150ah/N
Bei za 100ah/N ni 185000...
Habari wadau.
Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake.
Kwa kitanda peke yake bei 130,000
Godoro bei 80,000
Meza bei 50,000
Namba ya simu 0754 003 715
Toyota anatumia gearbox za aina tatu.
1. A type, ambazo zimefungwa kwenye SUV nyingi kubwa za Toyota. Mfano A343F iliyofungwa kwenye Toyota prado TX 1997.
2. U type, ambazo zimefungwa kwenye...
PUNGUZO LA BEI.
Tunapenda kukujulisha kuwa katika kufunga mwaka, sasa utapata VFD kwa 250,000 tu. VFD ni mashine ndogo inayokuwezesha kutoa risti halali za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi...
Dar es Salaam - Tamasha la Hot Rhythm Music Festival lililofanyika katika Hostel za Mabibo siku ya jumamosi jijini Dar es Salaam, liliwaleta pamoja wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa ajili ya...
Wakuu habari,
Natafuta mkulima, wa karanga mbichi, ambae ataniuzia kwa bei ya shambani, ni kuajili ya biashara..
Kama una mzigo, nichek watsAp 0742596431, tufanye biashara.
Mimi nipo Dar.
Oven la kisasa lenye jiko la gas na mtungi wa gas orxy vinauzwa kwa haraka mno .... pesa ya haraka inahitajika.. Dukani hilo jiko ni 560,000/= cc tunauza 380,000 tu
Nyumba Inauzwa milioni 60 maongezi yapo
Location📍IPO KIBAMBA NJIAPANDA YA SHULE
-Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, Vyumba viwili ni master, dinning room, sitting room, kitchen na public Toilet...
Habari. Mwenye kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza turubai za P.E zile nyepesi za blue ninaomba mawasiliano yao. Nimejaribu kutafuta mtandaoni sijafanimiwa. Asante
Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui
Dakika 3 tuu kutoka kwa bedui center
Dakika 7 tuu mpaka goba centre
Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho
Kiwanja kina sqm 700
Ni corner plot
Kina njia...
Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale
Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu
Sket imebak moja 2000 tu
Vitop vishat 1500 tu
Karibuni sana wasap or call 0625056158