KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MPIGI MAGOE (KWA MZUNGU)
Unatafuta kiwanja kwenye eneo zuri la makazi au uwekezaji? Hiki ni fursa yako!
Ukubwa: Mita 20 × 20
Kiwanja kimepimwa
Hati inatolewa moja kwa...
INAUZWA HARAKA! NYUMBA INAYOENDELEA NTENGELE - MILIONI 20 TU 🏡*
UNATAFUTA KUANZA KUJENGA AU KUMALIZIA NYUMBA YA NDOTO? HII NDIO FURSA YAKO!
Nimekuletea Boma kubwa lenye muundo tayari umeanza...
KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MAKABE (KWA PAULO)
📍 Mita 150 kutoka Barabara Kuu ya Mbezi Makabe, kimepakana na barabara kuu ya mtaa.
📐 Kiwanja kimepimwa
Ukubwa: 4,333 m² (Takribani Ekari 1.07)
✅ Eneo...
Sio kwa ajili ya kila mtu.
Ni kwa wale ambao umeshajaribu kila kitu. Na bado umekwama.
Kama unahangaika kupata wateja online.
Umetengeneza video yako.
Umeandika caption.
Umeweka pesa nyingi...
Una Laptop Mbovu, Iliyochakaa au Usiyoitumia? Niuzie Pesa Taslimu!
Nanunua laptop za aina mbalimbali, hata kama ni mbovu, imeharibika au imechakaa.
💰 Bei ni maelewano
📍 Napatikana Ilala, Dar es...
Watu wengi wanadhani kuagiza bidhaa kutoka CHINA ni kwa wenye mtaji mkubwa tu.
Ukweli ni kwamba wengi wanakosa fursa kwa sababu hawajui pa kuanzia.
Kwenye mafunzo yangu utajifunza:
📦 Jinsi ya...
Mitandio ya Chiffon inapatikana.
Ukubwa: Medium
Bei: sh 6,000/=
Tunapatikana Tabata Kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni)...
BISMILLAHIR RAHMANIR RAHIIM
Habari wana JamiiForums,
Natafuta mnunuzi wa jumla au mshirika wa biashara ya mchele.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo kutoka Bonde la Mto Kilombero, Morogoro. Kwa sasa...
KARIBU KWA OFFERS HIZI
1-Fully System ya 300Watts kwa Tsh 1,535,000/=
Solar Panels 300Watts - 450,000/=
Battery 200Ah- 580,000/=
Control Charge 20A- 55,000/=
Inveter 750Watts -250,000/=
Panels...
Habari Wana jukwaa kwa majina naitwa Abdallah Bakari Niko kisemvule pwani ninatafuta kazi ya ukonda wa daladala au Lori au kazi yeyote ya halali elimu yangu ni kidato Cha nne. Ninaomba jamani...