Wadau,
Natafuta packaging material/vifungashio kwa ajili ya bidhaa zangu. Natengeneza Jam and Jellies na kusindika vyakula mbalimbali. Please msaada wapi naweza kupata hizo materials.
Mlango wa gari ya Toyota Porte ni automatic. Nilipeleka gari kuoshwa baada ya hapo ile automatic ya kufunga na kufungua mlango inegoma. Kama kuna fundi anitafute kwa namba 0784674578
Habarini wanandugu! Nauza simu aina ya Oppo used yenye features zifuatazo:
Model number A33f
Android version 5.1.1
Color Os version V2.1.0i
Processor - Qualcomm MSM8916 Quad -core 1.2 GHz
RAM...
Sifa iwe na 4WHEEL................
BODY KUBWA...........
Iwe imetumiwa kwa matumizi binafsi sio biashara...namba njano
ukileta leta na picha yake na specification zake tuma
uwe tayari niifanyie...
Eneo la hekari 53 lenye hati, liko bunju kialaka 1.8 km toka barabara ya bagamoyo kona ya kuingilia Lord Baden powell/Efatha seminary secondary school.
Eneo lina hati ya jumla na sasa liko kwenye...
Tunasuply frozen kiti moto kwa mwezi uwezo wetu wa kusuply kwa jumla tu kuanzi tan 25 hadi 250 kilo moja sh 6000/-
Kwa watu serious tu unipm kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu hayatajibiwa...
Wana JF habari zenu...
Wadau Nina wazo la Ku supply bidhaa yangu kwa watu wa supermarket yyoyote iliyoko Dar es salam .....
MTU yeyote anaefanyia kazi supermarket ilieko Dar el salaam naomba...
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta line hizo kwa mpendwa anayehitaji ujira mdogo kwa kazi hiyo. Sina pesa nyingi za kununua line hizo, nitafurahi zaidi kupata line hizi kwa majina...
inahitajika appartment ya kupanga iliyo juu katika ghorofa refu zuri lenye appartments za kisasa za vyumba vitatu au vinne vyenye AC.
****Si LAZIMA liwe chang'ombe***
hata ghorofa likiwa maeneo...