Lipo ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe,
Miti iliyopandwa ni aina ya pine, Ina umri wa miaka miwili
Zipo ekari hamsini, Bei ni million 20 zinauzwa pamoja na ardhi
Kwa mahitaji wasiliana nami...
WADAU KUNA NYUMBA NZIMA INAKODISHWA VYUMBA VITATU SELF CONTAINER,JIKO IPO MAENEO YA BUZA,MANDHARI YAKO POA KABISA.UKIWA NA SHIDA WASILIANA NA HUYU MTU 0715 45 92 41
Iwe appartment ghorofani (kwenye ghorofa refu) maeneo ya chang'ombe au maeneo ya karibu sana na chang'ombe, iwe ya kisasa yenye vyumba vya kulala vitatu , yenye AC na fence.. Nicheki na ntumie...
WADAU KUNA GARI YA HARUSI INAKODISHWA KWA MAHARUSI WETU,BEI MAELEWANO TU AIFANYIWI NJAA.IPO POA KABISA NA NI MPYA KABISA AINA YA GARI NI SIENTA INABEBA WATU SABA MAWASILIANO MPIGIE 0715 45 92 41
Tafiti zilizofanywa marekani na wanasayansi katika chuo kikuu cha Mississippi Wamethibitisha kua chupi za kubana za wanaume si nzuri kiafya ya uume wako na usalama wa mbegu za uzazi na ina...
Viwanja vinauzwa viko Mbezi Makabe Njia Panda . Ukubwa Ni "20-20" bei Sh mil.10. Vimepimwa kisasa.
Umeme upo karibu mno.
Wasiliana Na mwenye no: 0714486466.
Karibu Utengeneze computer au upate ushauri wa kitaalamu wa manunuzi ya computer au vifaa vya computer:
Sisi ni Connectmoja Tech Ltd
Wasiliana nasi:
0714 215 600 au 0777880007
mwenye kujua inakopatikana au yeye ni mtumiaji anijulishe tushirikiane wote huku nilipo naiona fursa hii ya biashara tunawez fanya biashara hiyo nasikia ni nzuri ni pm
Salaam kama wewe ni mwanafunzi wa IFM au CBE na ni mtaalamu wa kuandika michanganuo ya kibiashara kwa ajili ya kupata mitaji..
wasiliana nami kupitia namba yangu ya whatsapp
+255758441676
Ziwe kampun za sony au samsung au nokia au bose au apple. Umuhim ni kuwa na sauti ya bass iliyochujwa pia.. Kwa mwanza au dar. Nimeweka picha za mfano. 0753101020.
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. nipo dodoma nakufuta popote ulipo...
Nauza mashine ya photocopy
#Ricoh aficio mp2000
#inatoa photocopy
#ina print
# ina scan
#fax
#wireless print
Mashine iko katika hali nzuri sana yaani ni karibu na mpya.
Price: 1million maongezi...